Atakuja kuangukia pua kama yule Dr.....flani...feki....ww subiri uoneNajua kwa vyovyote una wadau humu kwahiyo watakupa taarifa ama la Pengine hata wewe mwenyewe ni member hapa
Ni wazi kwamba biashara ni matangazo na kwa sehemu kubwa ya matangazo yetu yamejaa uongo usio na uhalisia TUNAVUMILIA...!!!!! lakini uongo wako pls umepita viwango vya kawaida vya kudanganya
Una matangazo kwenye radio za kidini kila asubuhi kwamba kozi yako ya kufundisha kiingereza kwa mfumo wa kipekee inayochukua miezi mitatu ni shilingi laki tano za kitanzania na kama mwanafunzi atakayeshindwa kuongea kiingereza kwa kipindi hicho utamrudishia ada yake yote...!!! Ni ubunifu na ni tangazo zuri lililoteka wengi japo halina uhalisia hata chembe...!!!! Kufaulu ama kufeli kwa mwanafunzi kuna mengi ndani yake
Kero yangu hii hapa
Kama ada ni laki tano lakini katika tangazo lako unasema atakayelipa leo atalipa laki mbili mbili tu!!!! Uhalisia uko wapi hapo? Hiyo ni discount gani isiyoleta mfanano? Tangazo kila siku ni hilo hilo mpaka sasa watu wanajua fika kwamba kusoma lugha ya kiingereza kwako si laki 5 bali ni laki 2...
Sitaki kujadili wafaulu wako kwakuwa ni janga la kipekee lakini pls punguza skonyo kwenye matangazo yako
mwambie mzee aende akapigwe brashNajua kwa vyovyote una wadau humu kwahiyo watakupa taarifa ama la Pengine hata wewe mwenyewe ni member hapa
Ni wazi kwamba biashara ni matangazo na kwa sehemu kubwa ya matangazo yetu yamejaa uongo usio na uhalisia TUNAVUMILIA...!!!!! lakini uongo wako pls umepita viwango vya kawaida vya kudanganya
Una matangazo kwenye radio za kidini kila asubuhi kwamba kozi yako ya kufundisha kiingereza kwa mfumo wa kipekee inayochukua miezi mitatu ni shilingi laki tano za kitanzania na kama mwanafunzi atakayeshindwa kuongea kiingereza kwa kipindi hicho utamrudishia ada yake yote...!!! Ni ubunifu na ni tangazo zuri lililoteka wengi japo halina uhalisia hata chembe...!!!! Kufaulu ama kufeli kwa mwanafunzi kuna mengi ndani yake
Kero yangu hii hapa
Kama ada ni laki tano lakini katika tangazo lako unasema atakayelipa leo atalipa laki mbili mbili tu!!!! Uhalisia uko wapi hapo? Hiyo ni discount gani isiyoleta mfanano? Tangazo kila siku ni hilo hilo mpaka sasa watu wanajua fika kwamba kusoma lugha ya kiingereza kwako si laki 5 bali ni laki 2...
Sitaki kujadili wafaulu wako kwakuwa ni janga la kipekee lakini pls punguza skonyo kwenye matangazo yako
Uko sahihi ndugu lkn kusema wachaga co sahihi.. njaa au usanii hauna kabilaWengi wanaotoa matangazo na vipeperushi vya kujiunga na Freemason ni ...wachaga..aka.. matapeli, jamaa mmoja kauza bodaboda yake kwa 600,000 akawatumia ili ajiunge, baada ya kupokea hizo hela...simu yao haipatikani teeeeena. Jamaa anatembelea ndala zenye ranging tofauti. Watz wazijua fursa, wako tayari kusajiri simu zao kwa jina la shetani--ibirisi mradi wawaibie wajinga.
Kama we ni maskini na unadhani umaskini ulionao haukutoshi, jiunge Freemason.
Mithali 28:19 "Alimae shamba lake atapata chakula tele, Bali afuate mambo ya upuuzi atapata umaskini wa kumtosha"
unajua hizo redio za dini ndo zinaongeza uzuzu, eti njoo uombewe upate safari za ulaya, mara BEBA MAWE ukampige shetani arabuni. crazy you know!Hapo ndo huo nao anapowafanya wasikilizaji kama ni mazuzu vile
Muongo wa kupindukia huyo jamaa.Najua kwa vyovyote una wadau humu kwahiyo watakupa taarifa ama la Pengine hata wewe mwenyewe ni member hapa
Ni wazi kwamba biashara ni matangazo na kwa sehemu kubwa ya matangazo yetu yamejaa uongo usio na uhalisia TUNAVUMILIA...!!!!! lakini uongo wako pls umepita viwango vya kawaida vya kudanganya
Una matangazo kwenye radio za kidini kila asubuhi kwamba kozi yako ya kufundisha kiingereza kwa mfumo wa kipekee inayochukua miezi mitatu ni shilingi laki tano za kitanzania na kama mwanafunzi atakayeshindwa kuongea kiingereza kwa kipindi hicho utamrudishia ada yake yote...!!! Ni ubunifu na ni tangazo zuri lililoteka wengi japo halina uhalisia hata chembe...!!!! Kufaulu ama kufeli kwa mwanafunzi kuna mengi ndani yake
Kero yangu hii hapa
Kama ada ni laki tano lakini katika tangazo lako unasema atakayelipa leo atalipa laki mbili mbili tu!!!! Uhalisia uko wapi hapo? Hiyo ni discount gani isiyoleta mfanano? Tangazo kila siku ni hilo hilo mpaka sasa watu wanajua fika kwamba kusoma lugha ya kiingereza kwako si laki 5 bali ni laki 2...
Sitaki kujadili wafaulu wako kwakuwa ni janga la kipekee lakini pls punguza skonyo kwenye matangazo yako
Mbona povu?hio ni biashara private,hutaki nenda kwa mwingine,lol
Tanganyika ya wadanganyika.Kweli wajinga ndio waliwao.Najua kwa vyovyote una wadau humu kwahiyo watakupa taarifa ama la Pengine hata wewe mwenyewe ni member hapa
Ni wazi kwamba biashara ni matangazo na kwa sehemu kubwa ya matangazo yetu yamejaa uongo usio na uhalisia TUNAVUMILIA...!!!!! lakini uongo wako pls umepita viwango vya kawaida vya kudanganya
Una matangazo kwenye radio za kidini kila asubuhi kwamba kozi yako ya kufundisha kiingereza kwa mfumo wa kipekee inayochukua miezi mitatu ni shilingi laki tano za kitanzania na kama mwanafunzi atakayeshindwa kuongea kiingereza kwa kipindi hicho utamrudishia ada yake yote...!!! Ni ubunifu na ni tangazo zuri lililoteka wengi japo halina uhalisia hata chembe...!!!! Kufaulu ama kufeli kwa mwanafunzi kuna mengi ndani yake
Kero yangu hii hapa
Kama ada ni laki tano lakini katika tangazo lako unasema atakayelipa leo atalipa laki mbili mbili tu!!!! Uhalisia uko wapi hapo? Hiyo ni discount gani isiyoleta mfanano? Tangazo kila siku ni hilo hilo mpaka sasa watu wanajua fika kwamba kusoma lugha ya kiingereza kwako si laki 5 bali ni laki 2...
Sitaki kujadili wafaulu wako kwakuwa ni janga la kipekee lakini pls punguza skonyo kwenye matangazo yako
Siku hizi CCM haina nafasi kwako, umeisoma namba nini? Sikusikii ukisifia kila kitu, what happened little madam?hio ni biashara private,hutaki nenda kwa mwingine,lol
Siku hizi CCM haina nafasi kwako, umeisoma namba nini? Sikusikii ukisifia kila kitu, what happened little madam?
Ila nasikia British counsel ulikua zamani, sasa hivi wazinguaji tu.Ila kizur gharama
Ambiere Mshana!!!Tusimlalamikie sana Ras Simba tuilalamikie zaidi serikali amabyo vyombo vyake viko kimya wakati wananchi wanadhulumiwa.Ras Simba ana matawi Kilosa,Morogoro,Dumila Turiani na mfundishaji ni yeye.Najua kwa vyovyote una wadau humu kwahiyo watakupa taarifa ama la Pengine hata wewe mwenyewe ni member hapa
Ni wazi kwamba biashara ni matangazo na kwa sehemu kubwa ya matangazo yetu yamejaa uongo usio na uhalisia TUNAVUMILIA...!!!!! lakini uongo wako pls umepita viwango vya kawaida vya kudanganya
Una matangazo kwenye radio za kidini kila asubuhi kwamba kozi yako ya kufundisha kiingereza kwa mfumo wa kipekee inayochukua miezi mitatu ni shilingi laki tano za kitanzania na kama mwanafunzi atakayeshindwa kuongea kiingereza kwa kipindi hicho utamrudishia ada yake yote...!!! Ni ubunifu na ni tangazo zuri lililoteka wengi japo halina uhalisia hata chembe...!!!! Kufaulu ama kufeli kwa mwanafunzi kuna mengi ndani yake
Kero yangu hii hapa
Kama ada ni laki tano lakini katika tangazo lako unasema atakayelipa leo atalipa laki mbili mbili tu!!!! Uhalisia uko wapi hapo? Hiyo ni discount gani isiyoleta mfanano? Tangazo kila siku ni hilo hilo mpaka sasa watu wanajua fika kwamba kusoma lugha ya kiingereza kwako si laki 5 bali ni laki 2...
Sitaki kujadili wafaulu wako kwakuwa ni janga la kipekee lakini pls punguza skonyo kwenye matangazo yako
Mamlaka zinakula ten percent ndio maana zinavaa miwani myeusi ya mbaoAmbiere Mshana!!!Tusimlalamikie sana Ras Simba tuilalamikie zaidi serikali amabyo vyombo vyake viko kimya wakati wananchi wanadhulumiwa.Ras Simba ana matawi Kilosa,Morogoro,Dumila Turiani na mfundishaji ni yeye.
Pia Mshana angalia upande wa afya kuna watu wanapita na vi laptop wanachunguza afya za watu hata CT scan haifikii,wananchi wanadhulumiwa.Mamlaka za uratibu ziko wapi?
Mimi nimesoma kwa Ras simba Mwaka 2015 ,alinitoa kwenye Giza Nene .Ras simba anafundisha mfumo wa man tu man,anawalimu wengi kila mwanafunzi anakuwa na mwalimu wake kwa kila unit,ukitaka kwenda unit nyingine lazima upass mtiani,walimu wake Wana uvumilivu wa hari ya huu sana wanaweza kukufundisha unit moja hata mara kumi ilimradi mwanafunzi anafauli akuna kupitishana mpaka aelewe,kingine kama mwanafunzi anakichwa ngumu anapewa special class yani kama kalipia Laki 2,anaongeze laki moja anasoma darasa la muda mrefu mpaka miezi 6,Najua kwa vyovyote una wadau humu kwahiyo watakupa taarifa ama la Pengine hata wewe mwenyewe ni member hapa