DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,900
Tumia bidhaa bora za Bakresa.
Past particles au past participle ??Mimi nilikuwa mwanafunzi wake ,amenisaidia sana ,Ras simba ni zaidi ya British council .kuna wanafunzi wa British council walishindwa kuongea na kuandika kingereza fasaha laki kwa Ras simba they speak fluently, jamani Mimi nilikuwa sijui kingereza hata kidogo nimejifunza kwa Ras Simba.Ras simba halikataa kuajiliwa British council, Jamaa yupo nondo na njia anazotumia ni sahihi mno,mfano Musa ameondoka muda sasa hivi,wakati uliopo mtimilifu kwa kingereza we write like that we start with subject + helping verb has/have + verb in past particles = Musa has gone recently.kama unabisha niulize swali lolote la kingereza nikuelekeze kwa muujibu wa Ras simba
Acha kufaninisha English na mambo ya kipumbavuRas simba, mwalm mjanja mjanja anamafomula ya hatari, utadhani formula za kutengeneza Bomu la nyuklia.
Hiyo ni English tu, akifundisha physics si itakuwa balaa

0.1/1001/100
YaleyalePast particles au past participle ??
unamuangusha mwalimu wako.

haya mke wake huyu apa mwenye maswalihio ni biashara private,hutaki nenda kwa mwingine,lol
haya mke wake huyu apa mwenye maswali
Wanadhani na Mungu aliyewapa hiyo huduma anahongekaBesa mbere..
Angalia jinsi ras simba anavyo fundisha hapo
Hawa wanam let down mwalimu wetu.Sikuliona hilo duu
Haya nambie nipe tafsiri ya kiingereza ya hii sentensi...."Raisi magufuli kaamrisha hapa kazi tu"Mimi nilikuwa mwanafunzi wake ,amenisaidia sana ,Ras simba ni zaidi ya British council .kuna wanafunzi wa British council walishindwa kuongea na kuandika kingereza fasaha laki kwa Ras simba they speak fluently, jamani Mimi nilikuwa sijui kingereza hata kidogo nimejifunza kwa Ras Simba.Ras simba halikataa kuajiliwa British council, Jamaa yupo nondo na njia anazotumia ni sahihi mno,mfano Musa ameondoka muda sasa hivi,wakati uliopo mtimilifu kwa kingereza we write like that we start with subject + helping verb has/have + verb in past particles = Musa has gone recently.kama unabisha niulize swali lolote la kingereza nikuelekeze kwa muujibu wa Ras simba