Ras simba tuhurumie

Ras simba tuhurumie

Mzee amewasaidia wengi wafanya biashara wakimataifa darasa la saba..hata cha kuombea maji jaman
Na muilize diamond
 
Huo mchezo umewahi kufanywa na bwana mmoja hapo Kinondoni kwa Manyanya. Chuo kinaitwa TIELI. Sasa hivi ana hospitali inaitwa Tanzaone. Alitangaza akaramba hela za watu na mwisho hata kibao cha kuonyesha ameishang'oa'
 
Mnashangaa Nini. Watu wengi humu Ndo tulivyo wapokeaji wa Habari bila kureason .hakuna ma kapuku wengi hasa ukizingatia JF ilipaswa kuwa a place to put aside our personal issues and beliefs, and engage in constructive discussions on different issues at Hand, JF imejitambulisha kama eneo la Vyama vya siasa . utoto na tabia ya kutovumiliana hasa kwa lugha za kiform 2 , so long as one lays down or puts forward a Theme which seems to praise somebody who is not on their Party . so kwa akili za namna hii, watu kama Ras anajipambanua kama mwenye upeo mkubwa wa kujua Nini anataka na kwa Soko lipi.cheki insta, utajua aina gani ya watz. Na wanasiasa wanatumia vilivyo.
 
🙂 🙂 very simple; baada ya miezi mitatu anakuuliza!,
good morning, ukijibu, what is your name ukajibu,
that's English "congratulation!!!"
 
Laki tano kama sikosei,

la saba utapigwa usaili ukiweza unaenda ukibuma wanakwambia kajipige msasa kidogo kisha urudi tena.

Wanazingatia, Kusikia na kuelewa, sasa kama huelewi hata kidogo kinachozungumzwa, darasa lazima liwe gumu.
Laki 5 kwa muda gani?
 
Back
Top Bottom