Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 3,497
- 5,953
Atakufa vibaya huyuuu !!!!Hata afungie mitandao, habari zinawafikia zote!
Anachotufanyia huyu mama ni hatarii kwa maisha yetu!
https://www.facebook.com/Baada ya gazeti maarufu la Marekani, The Wall Street Journal (WSJ), kuchapisha makala inayomkosoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, sasa ni zamu ya shirika jingine mashuhuri la habari nchini Marekani la Bloomberg kuripoti tukio jingine lenye utata. Kwenye taarifa yao ya hivi karibuni iliyochapishwa kupitia mtandao wa (X) zamani Twitter, Bloomberg imeeleza kuhusu kukamatwa kwa baadhi ya YouTubers nchini Tanzania ambao ni Jackson Kabalo, 32, and Joseph Mrindoko, 37, alimaarufu kama (WACHOKONOZI), kupitia post hiyo inaandika kama mfululizo wa uminyaji wa demokrasia na ukiukwaji wa haki za binadamu unaoendelea nchini Tanzania.
Waliosa Cha kuripoti.Baada ya gazeti maarufu la Marekani, The Wall Street Journal (WSJ), kuchapisha makala inayomkosoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, sasa ni zamu ya shirika jingine mashuhuri la habari nchini Marekani la Bloomberg kuripoti tukio jingine lenye utata. Kwenye taarifa yao ya hivi karibuni iliyochapishwa kupitia mtandao wa (X) zamani Twitter, Bloomberg imeeleza kuhusu kukamatwa kwa baadhi ya YouTubers nchini Tanzania ambao ni Jackson Kabalo, 32, and Joseph Mrindoko, 37, alimaarufu kama (WACHOKONOZI), kupitia post hiyo inaandika kama mfululizo wa uminyaji wa demokrasia na ukiukwaji wa haki za binadamu unaoendelea nchini Tanzania.View attachment 3379850
Kazi kwenu washauri wa Raisi, CCM, na UVCCM. Mimi na wasilisha tu, mtaamua wenyewe kuzika ama kusifirisha, hiyo ni juu yenu.
kusema hakusaidii, dictators do not heed to words! akiona hiki kitu kinatayarishwa kuja, she will heed to lawful demands πππππππππBaada ya gazeti maarufu la Marekani, The Wall Street Journal (WSJ), kuchapisha makala inayomkosoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, sasa ni zamu ya shirika jingine mashuhuri la habari nchini Marekani la Bloomberg kuripoti tukio jingine lenye utata. Kwenye taarifa yao ya hivi karibuni iliyochapishwa kupitia mtandao wa (X) zamani Twitter, Bloomberg imeeleza kuhusu kukamatwa kwa baadhi ya YouTubers nchini Tanzania ambao ni Jackson Kabalo, 32, and Joseph Mrindoko, 37, alimaarufu kama (WACHOKONOZI), kupitia post hiyo inaandika kama mfululizo wa uminyaji wa demokrasia na ukiukwaji wa haki za binadamu unaoendelea nchini Tanzania.View attachment 3379850
Kazi kwenu washauri wa Raisi, CCM, na UVCCM. Mimi na wasilisha tu, mtaamua wenyewe kuzika ama kusifirisha, hiyo ni juu yenu.
Magazeti yaliyokosa soko,yanatafuta habari za watu mashuhuri,ili yapate soko,njaa kaliBaada ya gazeti maarufu la Marekani, The Wall Street Journal (WSJ), kuchapisha makala inayomkosoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, sasa ni zamu ya shirika jingine mashuhuri la habari nchini Marekani la Bloomberg kuripoti tukio jingine lenye utata. Kwenye taarifa yao ya hivi karibuni iliyochapishwa kupitia mtandao wa (X) zamani Twitter, Bloomberg imeeleza kuhusu kukamatwa kwa baadhi ya YouTubers nchini Tanzania ambao ni Jackson Kabalo, 32, and Joseph Mrindoko, 37, alimaarufu kama (WACHOKONOZI), kupitia post hiyo inaandika kama mfululizo wa uminyaji wa demokrasia na ukiukwaji wa haki za binadamu unaoendelea nchini Tanzania.View attachment 3379850
Kazi kwenu washauri wa Raisi, CCM, na UVCCM. Mimi na wasilisha tu, mtaamua wenyewe kuzika ama kusifirisha, hiyo ni juu yenu.
Nani kakwambia? Unafikiri Bloomberg ni Mwananchi au Nipashe?Magazeti yaliyokosa soko,j,yanatafuta habari za watu mashuhuri,ili yapate soko,njaa kali
Ukizitangaza wewe inatoshahabari za palestina hawatangazi...wakwende zao!!
Sasa hivi mnafinywa nje na ndani.Waliosa Cha kuripoti.
Msamehe bure sio kosa lake, lawama ni CCM kwa kutupa ELIMU ya kutusaidia kwenda msalani Tu baaasi!Nani kakwambia? Unafikiri Bloomberg ni Mwananchi au Nipashe?
Wapi?Sasa hivi mnafinywa nje na ndani.
Ukweli washauri wake sijui wanashauriwa na nani?Hata afungie mitandao, habari zinawafikia zote!
Anachotufanyia huyu mama ni hatarii kwa maisha yetu!
Hatari snMsamehe bure sio kosa lake, lawama ni CCM kwa kutupa ELIMU ya kutusaidia kwenda msalani Tu baaasi!
Njoo Lucas MwashambwaBaada ya gazeti maarufu la Marekani, The Wall Street Journal (WSJ), kuchapisha makala inayomkosoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, sasa ni zamu ya shirika jingine mashuhuri la habari nchini Marekani la Bloomberg kuripoti tukio jingine lenye utata. Kwenye taarifa yao ya hivi karibuni iliyochapishwa kupitia mtandao wa (X) zamani Twitter, Bloomberg imeeleza kuhusu kukamatwa kwa baadhi ya YouTubers nchini Tanzania ambao ni Jackson Kabalo, 32, and Joseph Mrindoko, 37, alimaarufu kama (WACHOKONOZI), kupitia post hiyo inaandika kama mfululizo wa uminyaji wa demokrasia na ukiukwaji wa haki za binadamu unaoendelea nchini Tanzania.View attachment 3379850
Kazi kwenu washauri wa Raisi, CCM, na UVCCM. Mimi na wasilisha tu, mtaamua wenyewe kuzika ama kusifirisha, hiyo ni juu yenu.
Maza ana washauri wabaya snkusema hakusaidii, dictators do not heed to words! akiona hiki kitu kinatayarishwa kuja, she will heed to lawful demands πππππππππ
View attachment 3379873