Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,560
- 7,914
Nimemfuatilia hotuba zake sioni hoja za msingi wala sera zenye tija kwenye nchi yetu.
Raisi hana uwezo wa kuongelea au kukemea mauwaji na utekaji na ufisadi yeye anaonekana kuwatetea watu hao na kurusha lawama kwa wanao shauri na kukemea mambo hayo.
Nashauri raisi samia asigombee miaka mingine awaachie wengine waongoze nchi, sasa anaenda kufanya nini tena ikulu ?