99% muslimWakristo wapo ila hawapendi siasa!
1% wakristo na wahindu
99% muslimWakristo wapo ila hawapendi siasa!
Nimependa majina yao kuwa yenye asili moja, hakuna jina lenye asili ya mabeberu! Labda kwa mbali Riziki na Tabia
Una ufahamu wa ukubwa wa mkoa wa Lindi?
Eneo la mkoa wa Lindi lina Ukubwa: 66,040 km²
Zanzibar (Unguja na Pemba na visiwa vyote) ina ukubwa wa eneo la
2,462 km2
Nikueleze tu Lindi ni kubwa mara 26.8
Kwa lugha rahisi kwa wasiojua hesabu ni kuwa kuna Zanzibar 26 ndani ya Mkoa wa Lindi.
Zanzibar yote ni kama mara mbili ya mkoa wa Dar es Salaam yenye ukubwa wa kilometa za mraba 1,393.
Hahahaaaa Tabia Mwita kadada katamu kutoka UVCCM alikua makamu mwenyekitiNimependa majina yao kuwa yenye asili moja, hakuna jina lenye asili ya mabeberu! Labda kwa mbali Riziki na Tabia
kweli iwe nchi moja maana ake wazanzibar wa ccm ndio wenye nchi sisi wengine ndio wengi ila hatuna akili....ila wakati utasemaNatumai JPM atasaidia awamu hii kutimiza ndoto tuwe taifa moja chini ya serikali moja,tuungane kwa dhati na ndugu zetu.
Hitaji la katibaKama Seif na watu wake wakikubali kujiunga kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa naona bora safari hii wachukue na kadi za CCM kabisa, ili next time wasiwasumbue wananchi kwenda kupiga kura na kuwasababishia makovu na vilema.
sasa wote hao wa nini wakati nchi yenyewe kama mkoa moja tu wa bara, si aendeshes nchi nzima peke yake tu kama mkuu wa mkoa. Ni kupoteza hela za umma tu.
99% muslim
1% wakristo na wahindu
Mbona simuoni ndugu yetu Hamad Rashid, au kipindi hiki mmemchinjia mtoni?
Ni baraza la mawaziri? Au baraza la mapinduzi? Ni mawaziri? Au wajumbe wa baraza la mapinduzi?
Labda kapungukiwa ushupavu!Simwoni kiongozi shupavu Haji Omari Heri kwenye Baraza jipyaa!
Simwoni kiongozi shupavu Haji Omari Heri kwenye Baraza jipyaa!
Well, the discussion is not on Zanzibar's sovereignty. The issue here is the size of Zanzibar archipelago in comparison to Lindi Region.Je comoro, maldives, brunei to name few do u know how big are they? Ni nchi kamili hizo