Nina jamaa yangu ashaukwaa uraia wa huko hampendi trump anasema anamashtaka mengi balaa na mabaya kuliko hili. Hapa ni mwanzo tu huyu mzee aombee awe rais tena la sivyo anafia jelaDonald Trump has been placed under arrest at a courthouse in Lower Manhattan
The former US president is not wearing handcuffs but will have his fingerprints taken
Click the play button at the top of this page to watch live BBC News coverage of the unfolding events
After processing, Trump will attend an arraignment hearing where criminal charges will be read out
We still don’t know the exact charges he faces - but they relate to money paid to buy the silence of former porn star Stormy Daniels
US Congresswoman Marjorie Taylor Green earlier addressed Donald Trump's supporters in front of the courthouse
Trump - running for the presidency in 2024 - will be released on bail and plans to return to Florida later
BBC
Hamna kitu Trump anawapiga nje ndani,na mwaka ujao anashinda kwa kishindoNina jamaa yangu ashaukwaa uraia wa huko hampendi trump anasema anamashtaka mengi balaa na mabaya kuliko hili. Hapa ni mwanzo tu huyu mzee aombee awe rais tena la sivyo anafia jela
Trumph atawatesa sana waunga ushogaYule Kichaa ana akili sana. Anapinga Ushoga hadharani na anaipa kipaumbele nchi yake kwanza. Sio lunatic kama watu wanavyodai
Hivi Biden bado anataka kugombea?Hamna kitu Trump anawapiga nje ndani,na mwaka ujao anashinda kwa kishindo
Wanamuogopa Mwamba
Huenda jamaa ni team upinde tuNina jamaa yangu ashaukwaa uraia wa huko hampendi trump anasema anamashtaka mengi balaa na mabaya kuliko hili. Hapa ni mwanzo tu huyu mzee aombee awe rais tena la sivyo anafia jela
Nina jamaa yangu ashaukwaa uraia wa huko hampendi trump anasema anamashtaka mengi balaa na mabaya kuliko hili. Hapa ni mwanzo tu huyu mzee aombee awe rais tena la sivyo anafia jela
Katika uongozi wake ndio miaka ambayo marekani haijajihusisha na vita na umwagaji damu sana nchi za uarabuni na afrikaHe is very dangerous person in whole world.
Trump ndio muwasha kiberiti vita ya tatu.
Na Amerika ikiingia kwenye civil war the worst will happen for everyone.
Yule Kichaa ana akili sana. Anapinga Ushoga hadharani na anaipa kipaumbele nchi yake kwanza. Sio lunatic kama watu wanavyodai
Ipo live bbc,anarudi FloridaAcha kiherehere kama hujui kaa kimya.
Ni kawaida ukifika mahamamani kabla ya kuingizwa chumba cha hukumu unahifadhiwa eneo maalum la kusubiri Muda wa kuingia mahakamani..
Ataendelea kulindwa na walinzi wake na atapatiwa huduma zote anazostahili kama raisi mstaafu
Kisha atasimama mahakamani bila kufungwa pingu na atasomewa mashtaka yanayomkabili
Na baadaye ataachiliwa kwa dhamana na atarudi florida kwenye makazi yake..akisubiria tarehe ya kesi yake kutajwa tena...
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Moron.Acha kiherehere kama hujui kaa kimya.
Ni kawaida ukifika mahamamani kabla ya kuingizwa chumba cha hukumu unahifadhiwa eneo maalum la kusubiri Muda wa kuingia mahakamani..
Ataendelea kulindwa na walinzi wake na atapatiwa huduma zote anazostahili kama raisi mstaafu
Kisha atasimama mahakamani bila kufungwa pingu na atasomewa mashtaka yanayomkabili
Na baadaye ataachiliwa kwa dhamana na atarudi florida kwenye makazi yake..akisubiria tarehe ya kesi yake kutajwa tena...
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Unajua siasa za Marekani mkuu, au ndiyo stori za vijiweni unaleta huku!Nina jamaa yangu ashaukwaa uraia wa huko hampendi trump anasema anamashtaka mengi balaa na mabaya kuliko hili. Hapa ni mwanzo tu huyu mzee aombee awe rais tena la sivyo anafia jela