kizuizini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Nchimbi, yupo hai, mfu, huru, kizuizini au ughaibuni?

    Kihisitoria, Makamu wa rais wa kwanza kujiuzulu nchini alikuwa Aboud Jumbe. Alirubuniwa na wachoyo na walafi wa madaraka hasa vijana wakiongozwa na marehemu Seif Shariff Hamad ili wamuondoe wachukue ukanda wakaisha kuishi na kufa kwa upanga kama walivyoishi kwao. Nchimbi kaondolewa. Tunajua ni...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mtu akiwekwa kizuizini anaruhusiwa kwenda kanisani ?

    Mtu akiwekwa kizuizini anaruhusiwa kuendelea kuitumikia Imani yake mbele ya umma kama kuendelea kwenda kanisani, misikitini au kwa waganga kulingana na imani yake ? Au anakuwa anapelekewa padri, mchungaji, askofu, sheikh, ustadh au mganga aliko kizuizini?
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama Akataa Matokeo ya Autopsy, Agoma Kuchukua Mwili wa Mwanawe Aliyekufa Kizuizini

    Mama wa Gideon Makau, mwenye umri wa miaka 44, amekataa matokeo ya uchunguzi wa maiti na kugoma kuchukua mwili wa mwanawe kwa ajili ya mazishi, akitaka familia ipate majibu kuhusu kilichotokea kabla ya kifo chake akiwa kizuizini katika Kituo cha Polisi cha Kilungu, Makueni. Makau alikamatwa...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania IGP Douglas Kanja aagiza kusimamishwa kwa Maafisa wa Polisi watakao kuwa kazini wakati Mtuhumiwa akifariki kizuizini

    Inspekta Jenerali wa Polisi Kenya, Douglas Kanja, ameagiza maofisa watatu waliokuwa kazini wakati mtuhumiwa anapofariki akiwa kizuizini kusimamishwa mara moja (interdiction) ili kuruhusu uchunguzi kufanyika. Maofisa hao ni anayerekodi taarifa katika Occurrence Book (OB), askari wa seli (cell...
  5. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Mahmoud Ahmedinajad awekwa kizuizini kwa tuhuma za kuwasiliana na MOSAD

    Aliyekuwa Rais wa Iran, Mahmoud Ahmadinejad (aliyeongoza hadi mwaka 2013), anaripotiwa kushikiliwa na mamlaka nchini humo kufuatia mfululizo wa kauli zake za ukosoaji dhidi ya serikali. Taarifa zinaeleza kuwa Ahmadinejad alikamatwa mjini Shiraz baada ya kutoa hotuba iliyotajwa na viongozi wa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Madagascar: Watu 13 kizuizini kwa njama za kutaka kumuua Rais Michael Randrianirina.

    Madagascar imewashtaki washukiwa 13, akiwemo jenerali mmoja, kwa tuhuma za kupanga njama ya kumuua kiongozi wa mpito Michael Randrianirina, huku nchi hiyo ikiendelea kukumbwa na hali ya mvutano wa kisiasa kufuatia maandamano ya mwaka jana. Mwendesha mashtaka wa serikali, Narindra Navalona...
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mtindo wa kukamata na kuweka kizuizini zaidi ya Saa 24: Je, Ni adhabu ya muda iliyobuniwa?

    Katika siku za karibuni, nchini kumeendelea kushuhudiwa matukio ya watu kukamatwa na vyombo vya dola, hususan Jeshi la Polisi, na kushikiliwa mahabusu kwa muda mrefu zaidi ya saa 24 bila kufikishwa mahakamani au kupewa dhamana. Baadhi ya watuhumiwa huachiwa huru baada ya siku kadhaa bila...
  8. General Mangi

    JamiiForums Tanzania Je, Rais wa China yupo Kizuizini kwa Uangalizi wa Jeshi?

    Kutoka BBC Swahili 10 Julai 2025 Habari za magazeti ya Uingereza zinaangazia wasiwasi unaoongezeka kuhusu machafuko ya ndani nchini China, huku kukiwa na ripoti za mvutano kati ya Rais Xi Jinping na baadhi ya viongozi wa kijeshi. Makala katika gazeti la The Telegraph la Uingereza inaonya juu...
  9. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Je, Mpango wa Kumuua Tundu Lissu kwa Sumu Ukiwa Kizuizini Ni Dalili ya Taifa Lenye Hofu ya Ukweli na Kukwama Kisaikolojia Kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025?

    Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya CHADEMA, kuna taarifa za kijasusi zinazoibua hofu kuhusu mpango wa kumuwekea sumu Tundu Lissu akiwa kizuizini. Swali kuu ni: tunapoingia uchaguzi mkuu wa 2025, je, hii ndiyo lugha ya kisiasa tunayoruhusu kama taifa? Kama msomi wa saikolojia ya siasa, jaribio la...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Gwajima kawekwa kizuizini au katekwa?

    Hili ndio swali ninalojiuliza mpaka sasa kuhusu hatima ya huyu kiongozi wa dini na ambae pia ni mwanasiasa. Je, na familua yake nayo imezuuwa kuongea chochote? Viongozi wengine wa kanisa lake nao wamezuiwa hata kuhoji alipo? Tukumbuke wanaopotea pia hupotea kwa stahili hii Mwenye majibu...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Uhuru uliopitiliza kikwazo kimaendeleo, kwa maslahi mapana ya taifa sheria maalumu ya kuweka watu kizuizini ianzishwe

    Uhuru uliopitiliza kikwazo kimaendeleo, kwa maslahi mapana ya taifa sheria maalumu ya kuweka watu kizuizini ianzishwe Wadau hamjamboni nyote? Ndugu zangu wazalendo kwa hali iliyopo ya uhuru uliopitiliza itachukua miaka mingi nchi yetu kupata maendeleo Kwa maslahi mapana na maendeleo ya nchi...
  12. Last Philosopher

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli tunauishi upendo halisi ama ulio kizuizini?

    Kila mtu anaweza kuwa na neno ukimuliza kuhusu upendo. Toka muda watu wamesha tafafuta maana nyingi za neno upendo lakini bado hakuna anayeweza kuongelea upendo kwa maneno na akaumaliza kama jinsi ulivyo. Kila mtu ataongelea matokeo yake kwa jinsi alivyo ishi na uzoefu wake katika mazingira...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Bobi Wine awekwa chini ya Ulinzi nyumbani kwake baada ya kukamatwa Airport

    UGANDA: Kiongozi wa Chama cha Upinzani cha National Unity Platform (NUP), Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine amewekwa chini ya Ulinzi nyumbani kwake baada ya kukamatwa na Maafisa wa Usalama wakati akirejea kutoka Nje ya Nchi - Taarifa ya kuwekwa chini ya ulinzi inakuja baada Katibu Mkuu...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zamani wa Marekani, Donald Trump awekwa kizuizini

    Donald Trump has been placed under arrest at a courthouse in Lower Manhattan. The former US president is not wearing handcuffs but will have his fingerprints taken. After processing, Trump will attend an arraignment hearing where criminal charges will be read out We still don’t know the exact...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Sitaacha!" Eric Omondi anasema baada ya kuachiwa kutoka kizuizini na polisi

    Mchekeshaji Eric Omondi amesema kwamba kuachiwa kwake kulihakikishwa na mfanyabiashara Gor Semelang'o, ambaye alimdhamini kituo cha polisi. Mchekeshaji Eric Omondi ameachiliwa kutoka Kituo cha Polisi cha Central Nairobi ambapo alikuwa amezuiliwa baada ya kukamatwa Jumatatu alasiri. Omondi...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Eritrea: Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki aachiwa kizuizini baada ya miezi miwili

    Askofu Fikremariam Hagos aliwekwa kizuizini Tangu Oktoba 2022 akiwa pamoja na Padri Abba Mihretab Stefanos huku kukiwa hakuna sababu zilizowekwa wazi na mamlaka juu ya kushikiliwa kwao Kanisa hilo limekuwa likisisitiza kumalizika kwa mfumo wa utawala wa chama kimoja Nchini Eritrea na kuminywa...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mali yawaachia Wanajeshi watatu wa Ivory Coast, 46 bado wapo kizuizini

    Wanawake watatu kati ya Wanajeshi 49 raia wa Ivory Coast wameachiwa huru kutoka katika mamlaka za Mali huku wengine wakiendelea kushikiliwa. Wanawake hao wamerejea Ivory Coast ikwa ni wiki 7 tangu waliposhikiliwa. Kundi hilo la Wanajeshi lilishikiliwa tangu Julai 10, 2022 baada ya Mali kudai...
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Tunisia; Mwandishi wa habari kizuizini kwa kutoa maoni kumhusu Rais

    Polisi nchini humo wanadaiwa kumshikilia mwanahabari Salah Atiyah kwa kutoa maoni katika mahojiano ya televisheni kwamba Rais Kais Saied alilitaka jeshi kufunga makao makuu ya chama cha wafanyakazi cha UGTT na kuwafunga viongozi wa upinzani kifungo cha nyumbani Waendesha mashtaka wa jeshi...
  19. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Tanzania mtu anaweza kuwekwa kizuizini nyumbani kwake?

    Wakuu salama? Naimbeni mnijuze, kwa nchi ya Tanzania, mtu anaweza kuwekwa kizuizini nyumbani kwake? Kama ndio ni sheria ipi hiyo inaruhusu katika katiba yetu?
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mwandishi aliyeko kizuizini Uganda afikishwa Mahakamani

    Mwandishi wa Uganda anayetuhumiwa kutuma taarifa za kashfa kuhusu rais na mtoto wake wa kiume kwenye mtandao wa Twitter amefunguliwa mashtaka mahakamani, wiki kadhaa baada ya kukamatwa. Kakwenza Rukirabashaija alishtakiwa kwa makosa mawili ya mawasiliano ya kukera na amepelekwa gerezani hadi...
Back
Top Bottom