Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ahukumiwa kifungo cha miezi 15 gerezani

Do you think everyone can be responsible for unspeakable corruption acts!?......the answer is real no, every person in Africa is corrupt including you.
 

We can’t allow Zuma to speak in parliament, Julius Malema


Wenzetu wako mbali sana aisee?!

Kiwango chao cha uelewa na kujitambua kiko juu sana.

Angalia hata Rais Zuma ametulia na kule wapinzani wanachojadili kinajulikana wako sahihi sababu kina msingi wa kisheria.

Sijui tutafika lini kiwango hicho.
 
Kuna ile clip ya Mbunge mwanamama wa bunge la SA alikuwa anasema “ Zuma is the thief “
He is the greatest thief in the world “

Kwa msisitizo mkubwa, please mwenye nayo Naomba airushe tujikumbushe maana yanaonekana kutaka kutimia
 
 
 
Na Huyo Jaji Zondo Ndio Mwenyekiti Wa Jopo La Majaji Wa Hyo Mahakama Ya Katiba na Toka Mwanzo Zuma alimkataa Zondo Asisikilize Kesi Yake Kutokana na Kuwa Na Interest
Zondo ni jaji makini na SA wanamtambua na Zuma anamjua kuwa huyo jamaa kuruka vihunzi kwake ni ngumu na sio mla rushwa...
 
Asa unabisha Nn? Wakati Hii Kesi Inaanza Zuma Alipeleka P.O HC akiomba Jaji Zondo ajiondoe kwasaba Jaji Zondo akiwa Wakili Kabla hajawa Judge Aliwahi Kuwa Wakili Wa Complainant mmojawapo Ila Zondo akagoma kujiondoa
Unajua kwa nini alikua anamkwepa Zondo na je ulifatilia kusikia wale wengine walivyotoa ushuhuda wa nani achaguliwe nani asichaguliwe kuwa Waziri na uhusiano wa Gupta family kwenye serikali ya Zuma...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…