Rais wa Urusi awashukia viongozi wa Afrika

Kwa maana yako tukikimbiana ndiyo kutaifanya SGR ikamilke?

In God we Trust
Nilicho na wasiwasi nacho mimi binafsi ni kama itatokea Chadema wakajenga Ofisi Kuu ya Chama. Lakini SGR, Mwl. Nyerere Hydroelectric Power, Ubungo Interchange, Busisi Bridge, nk hayo ni kufumba na kufumbua yatakuwa tayari! By the way, unakumbuka akina Mbowe, Lema, Sugu na wengine walivyokuwa wanakenua meno wakiwa ndani ya Bombardier wanakuja kwenye Sherehe za Muungano hapa Mwanza? Unakumbuka lakini!????? Ahahahahahahah!!!!!!!
 
Ukiitwa zumbukuku unarusha ngumi hewani, hizo bombardier unadhani zimenunuliwa na fedha za z ccm?

Ahahahahahahah! Kwahiyo SGR unayoiponda ndio inajengwa kwa hela za CCM? Ahahahahahahah!
 
Hapo hapo unawakuta wanao wabeza mabeberu, wanawapigia magoti kuomba msaada wa kupambana na milipuko ya magonjwa

In God we Trust
Hiki ndicho alichomaanisha Rais wako Putin?
 
Afrika ina uwezo wakuhudumia Asia, Ulaya, Marekani, Australia lakini hawawezi kwa sababu wana tatizo moja tuu.

Viongozi wao ndio tatizo

#Vladimir_Putin

Hakika haya maneno yana ukweli ndani yake. View attachment 1423946

In God we Trust

Too. General. Ila kwa Tz tatizo watu kama wewe. Hamtawaliki. Toka 2015 mnafanya Kampen Mpya. Wabishi. Wavivu. Hamna kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna ushahidi kama amesema hivyo ILA watu weusi popote walipo duniani sio Afrika tu HAWAWEZI KUJIONGOZA.

Hawapendani, wana majungu na ni watu wa hovyohovyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom