Rais wa Urusi awashukia viongozi wa Afrika

Rais wa Urusi awashukia viongozi wa Afrika

DAB anafaidi keki ya taifa letu
Kama tutaweza kupambana na wizi na rushwa naona tungefika mbali ila kila Rais wa Africa anapopata madaraka hayo anakuwa ni walewale
Huwezi kuendelea wakati rasimali zinaliwa na wachache


Sent from my iPhone using Tapatalk

In God we Trust
 
Aliharibu tu hapo mwisho.

Huo mstari wake wa mwisho ndio uliofichua ya moyoni mwake asiyoweza kuyasema hadharani.

Kwa hayo mengine ya huko mwanzo ninakubaliana naye kwa kiasi kikubwa.

'Generation' ya viongozi hawa tulionao sasa hivi ni ya kupuyanga tu mradi liende au lisiende popote.
 
Pumbavu hao, wana tu undermine, Ila ni kweli alichosema Putin, Ila swali ni je anatoa moyoni?
Manake mwaka juzi Prime minister may Teleza alisema Putin ana undermine principles of their survival.,. whites.
Siamini Hadi Africa tumiliki nuclear weapons
Ninachoamini ni marekani na ulaya wamemwaga mboga na Putin anamwaga ugali.

Natanguliza Samahani Kwa wale wenye mihemko.
 
DAB anafaidi keki ya taifa letu

In God we Trust

Africa yote ni janga tu
Halafu tatizo wengi huwa wanakufa kwa mateso sana
Raha zikizidi na maradhi ya ajabu ndio yanakutafuna
Hakuna anaepita salama
Kila mmoja anasema Africa imejaa utajiri na lazima tuwe matajiri sasa mpe usukani ndio utajua


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Unakuta mwanasiasa anawatetea Mabeberu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Kama hawa wetu hamnazo unataka wafanyeje? Yaani wewe ukiwa na akili zako timamu unaweza ukaota nchi ya viwanda wakati watu wako ndo kwanza bado wanafundishwa umuhimu wa kunawa mikono wanapotoka chooni,wakifundishwa choo Bora,wakifundishwa Good Agriculture practices tena kwa msaada wa Beberu?
 
Africa yote ni janga tu
Halafu tatizo wengi huwa wanakufa kwa mateso sana
Raha zikizidi na maradhi ya ajabu ndio yanakutafuna
Hakuna anaepita salama
Kila mmoja anasema Africa imejaa utajiri na lazima tuwe matajiri sasa mpe usukani ndio utajua


Sent from my iPhone using Tapatalk
Tunawashuhudia hapa kwetu, kutoka kuvuta kokoro hadi sasa ni wafadhili

In God we Trust
 
Polepole ni janga pale lumumba

In God we Trust
Mtu kama Polepole ni wa kupuuzwa kabisa. Ni aheri mtu mjinga ataelimika kuliko mtu mnafiki.

Mtu anayesimama kwenye maneno yake, siku zote ni mtu wa kuaminika. Usipoteze muda kumwamini mtu kigeugeu. Kigeugeu ni mtu mnafiki.

Polepole alisema CCM haifai, haiwezi kushinda kwenye uchaguzi huru.

Polepole alisema ni lazima tuwe na katiba mpya ili nchi kupata maendeleo.

Polepole alisema wakuu wa Wilaya hawana kazi yoyote, na nafasi zao zinatakiwa kufutwa.

BAADAYA YA KUPEWA CHEO

Polepole akaja kuwa mkuu wa Wilaya na kudai amefanya kazi kubwa alipokuwa mkuu wa wilaya.

Polepole akasema hakuna chama chenye sera nzuri kama CCM.

Polepole akasifu uchaguzi mdogo ambao wapinzani walisusia, na kusema CCM imeshinda kwa kishindo, wananchi wameonesha imani yao kw CCM.

Polepole akaja kusema kuwa katiba mpya siyo muhimu kwa sasa.

Hivi mtu mnafiki, mwongo na kigeugeu kama Polepole kuna haja ya kuyapa umuhimu maneno yake?

Huyu, ikitokea leo Rais Magufuli ameondolewa madarakani kwa nguvu (haitatokea ni mfano tu), mtu kama Polepole akapewa cheo na mtawala mpya, anaweza kuwa ndiye msemaji mkuu wa kuisema vibaya CCM na Rais Magufuli.

Hata siku moja, usimwamini wala kujivunia mtu mwongo na mnafiki. Mtu ambaye katika maisha yake haijulikani hata anasimamia nini. CCM haitakiwi kujivunia kuwa na mtu mnafiki kama Polepole.
 
Back
Top Bottom