Kwa uhuni unaoufanya hapa jamii forum ntampigia simu Ummy Mwalimu au Waziri mkuu na kukuripot kuwa una Korona virus na unataka kuja kuisambaza hapa jamii forum..Bora mie kuliko wewe unaye jifanya uko busy kwa kuramba miguu
In God we Trust
Ndugu Mmawia mbona jana sikukuona Chato? Au ulikuwa kwenye lille kundi pale barabarani lililokuwa linawashangilia viongozi walipokuwa wanapita? Nilitaka nikununulie angalau chupa ya K Vant nawe ujinome! Ahahahahah!Hiyo miradi itabakia kwenye makumbusho tu
In God we Trust
Ndugu Mmawia mbona jana sikukuona Chato? Au ulikuwa kwenye lille kundi pale barabarani lililokuwa linawashangilia viongozi walipokuwa wanapita? Nilitaka nikununulie angalau chupa ya K Vant nawe ujinome! Ahahahahah!
Yeye mbona nchi yake pia ni kubwa sana lakini anashindwa kutengeneza uchumi mkubwa kushindana na USA,
Na yeye ni tatizo awaachie vijana nchi sio yeye tu miaka yote na sasa anataka afanye juu kama raisi wa China,ajiongezee miaka hadi atakspochoka.
Na yeye ni jipu Vilevile.

Kwa uhuni unaoufanya hapa jamii forum ntampigia simu Ummy Mwalimu au Waziri mkuu na kukuripot kuwa una Korona virus na unataka kuja kuisambaza hapa jamii forum..
Seek respect, not attention. It lasts longer
Ahahahahahahah!Usilo lijua
In God we Trust