Rais wa Urusi awashukia viongozi wa Afrika

Rais wa Urusi awashukia viongozi wa Afrika

Nilicho na wasiwasi nacho mimi binafsi ni kama itatokea Chadema wakajenga Ofisi Kuu ya Chama. Lakini SGR, Mwl. Nyerere Hydroelectric Power, Ubungo Interchange, Busisi Bridge, nk hayo ni kufumba na kufumbua yatakuwa tayari! By the way, unakumbuka akina Mbowe, Lema, Sugu na wengine walivyokuwa wanakenua meno wakiwa ndani ya Bombardier wanakuja kwenye Sherehe za Muungano hapa Mwanza? Unakumbuka lakini!????? Ahahahahahahah!!!!!!!
Ni Hadi vitakapokamilika ndio mseme isijeishia kwenye kuchimba chimba tu mkaachia njiani
 
Kwanza bashite na babaake
Corona ingeanza nao

god is good
 
Africa Bala la mafisadi, pesa za Africa na Tanzania,zipo uswizi alikosemaga Mh Zitto, Ufisadi unaanzia watoto Hadi wazee wote ni mafisadi, tutawezaje kuendelea kiuchumi?

Sheria ya kunyongwa Hadi kufa, ilitakiwa Sana Africa hasa Kwa majambazi na mafisadi, Sema tu sasa Nani ataisimamia hiyo Sheria Kwa sababu na viongozi wetu wote ni mafisadi
Huoni ile mahakama ya mafisadi imekufa natural death maana wateja ni ccm.
 
Haya matawala ni majizi Sana yanaficha nje Kodi zetu.Unakuta mtu Kama bokasa,Mugabe,mobutu ,Abacha yamewekwa madola na mayuro mabilioni nje ya nchi huku yakijenga mahekalu kila nchi ambayo yameziacha.Halafu yanawaaminisha watu eti umasikini wetu ni sababu ya sijui ukoloni mambo leo,sijui imf,wordbank,nk kwa kuwafadhili kina Walter Rodney kuja kuandika ujinga ujinga tu wa itikadi za kijamaa ili kuwapumbaza watu akili waamini umasikini wetu ni sababu kuu ya external factors kumbe ni internal factors.Kama ni external factors mbona Vietnam, Brazil, Scandinavian country, China,Asia nk tulizokuwa nazo sawa kiuchumi mbona zimeendelea?
 
Putin Mara nyingi Yuko sahihi sio tu kwa hili.hata kwa nchi za magharibi
Msimtoe ghadaffi,Saddam Al Asad nk walikaidi
Madhara yake yanaonekana hata kwa kipofu.
Vyama vilivyoleta Uhuru afrika ni tatizo.jitihada zao ni nanna gani watabaki madarakani milele daima ,aijalishi kwa kuwaletea umaskini watu wao na hata kuua.
Miaka ya 60-70 baadhi za afrika zulikuwa tajiri kuliko nchi Asia (tiger economic countries)angalia sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huoni ile mahakama ya mafisadi imekufa natural death maana wateja ni ccm.
Nilichoandika na wewe ulichoandika ni vitu viwili tofauti, sijui umekosea uliyelenga kumu quote ni mwingine?

Hata hivyo, tatizo la nchi zetu Africa, Sio Ufisadi tu, unachangiwa pia na Ujinga mwingi miongoni mwa jamii,
 
Nilichoandika na wewe ulichoandika ni vitu viwili tofauti, sijui umekosea uliyelenga kumu quote ni mwingine?

Hata hivyo, tatizo la nchi zetu Africa, Sio Ufisadi tu, unachangiwa pia na Ujinga mwingi miongoni mwa jamii,
Ni haya hapa ndo msingi wa umasikini wetu, uongozi mbovu, ufisadi,uvivu, ubinafsi,uchawi,chuki.
 
Kama tutaweza kupambana na wizi na rushwa naona tungefika mbali ila kila Rais wa Africa anapopata madaraka hayo anakuwa ni walewale
Huwezi kuendelea wakati rasimali zinaliwa na wachache


Sent from my iPhone using Tapatalk
Lakini mbona tukipiga kura tunarudisha sampuli hizohizo? Nani katuloga Africa? Tunasubiri mzungu atuletee viongozi wazuri Africa? Its shame on us!!!
 
Kamwe usiweke Agano na masikini, Viongozi wengi wa Africa wamezaliwa na kukulia katika mizizi ya kifukara, hivyo wao kwao kutetea agano la kiuongozi huwa ngumu. Ukijumlisha na Ubinafsi wa kimaumbile ya mwanadamu ndio kwisha kabisaaaaaaa!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom