Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,724
- 2,855
- Eti unakuta mwanasiasa anaenda kujibebesha kwa mabeberu ili wamsaidie kuingia madarakani, sasa lini atajitambua kuwa anapotawala nchi sio sehemu ya mabeberu? Tutaendelea kudharaulika sana, hakuna namna.