Rais wa Urusi awashukia viongozi wa Afrika

Rais wa Urusi awashukia viongozi wa Afrika

Afrika ina uwezo wakuhudumia Asia, Ulaya, Marekani, Australia lakini hawawezi kwa sababu wana tatizo moja tuu.

Viongozi wao ndio tatizo

#Vladimir_Putin

Hakika haya maneno yana ukweli ndani yake. View attachment 1423946

In God we Trust
Kama role model wao anasema hivi basi ni hatari; yaani, ameona kuwa sio role model wao tena.
 
Africa Bala la mafisadi, pesa za Africa na Tanzania,zipo uswizi alikosemaga Mh Zitto, Ufisadi unaanzia watoto Hadi wazee wote ni mafisadi, tutawezaje kuendelea kiuchumi?

Sheria ya kunyongwa Hadi kufa, ilitakiwa Sana Africa hasa Kwa majambazi na mafisadi, Sema tu sasa Nani ataisimamia hiyo Sheria Kwa sababu na viongozi wetu wote ni mafisadi
 
Afrika ina uwezo wakuhudumia Asia, Ulaya, Marekani, Australia lakini hawawezi kwa sababu wana tatizo moja tuu.

Viongozi wao ndio tatizo

#Vladimir_Putin

Hakika haya maneno yana ukweli ndani yake. View attachment 1423946

In God we Trust
Amegusa mule mule ttzo la Africa imekosa mfumo sahihi wa kupata viongozi Bora.Uliopo hauzalishi viongozi Bali watawala tumeupigia kelele miaka mingi.Mifumo yetu ya uongozi ndilo kaburi letu na ndio chanzo cha umasikini.Ikishindikana ni heri tuajiri viongozi toka nje ya Africa badala ya kuchagua.Mifumo yetu ni dhaifu uchochea kupata watawala wezi, mafisadi,wauaji,wabinafsi, madikteta,visionless, viongozi wako bize kupambana na watu kuliko maendeleo,kushindana kukwapua,wachawi,washirikina.Bila kuwa na mifumo ya kuwafunga viongozi yaani wakitoka madarakani wanaozea jela tutasubiri Sana maendeleo na ni heri tungewaacha wakoloni wakatuletea maendeleo,miaka 60 ya Uhuru Africa hatujasonga kulinganisha na mda mchache waliokaa wakoloni wameleta maendeleo makubwa Sana Africa kuliko ambavo tumejitawala.
 
Viongozi wa Africa wametokea wapi??!!----- si ndani ya waafrika wenyewe!!, mtoto wa nyoka ni nyoka.

Tatizo ni Waafrika wenyewe kwa ujumla wala sio viongozi wa Waafrika.
Watu imara uchagua viongozi imara,shida inaanzia kwetu hata akiingia mpinzani kwa mifumo hii mibovu ya kiuongozi Africa bado
 
Africa yote ni janga tu
Halafu tatizo wengi huwa wanakufa kwa mateso sana
Raha zikizidi na maradhi ya ajabu ndio yanakutafuna
Hakuna anaepita salama
Kila mmoja anasema Africa imejaa utajiri na lazima tuwe matajiri sasa mpe usukani ndio utajua


Sent from my iPhone using Tapatalk
Sawa na yule wa tumeibiwa Sana, Africa ni tajiri,tumechelewa Sana,tumelaliwa Sana,kumbe naye ni wale wale wa nyani kumfukuza ngedere shambani
 
Mtu kama Polepole ni wa kupuuzwa kabisa. Ni aheri mtu mjinga ataelimika kuliko mtu mnafiki.

Mtu anayesimama kwenye maneno yake, siku zote ni mtu wa kuaminika. Usipoteze muda kumwamini mtu kigeugeu. Kigeugeu ni mtu mnafiki.

Polepole alisema CCM haifai, haiwezi kushinda kwenye uchaguzi huru.

Polepole alisema ni lazima tuwe na katiba mpya ili nchi kupata maendeleo.

Polepole alisema wakuu wa Wilaya hawana kazi yoyote, na nafasi zao zinatakiwa kufutwa.

BAADAYA YA KUPEWA CHEO

Polepole akaja kuwa mkuu wa Wilaya na kudai amefanya kazi kubwa alipokuwa mkuu wa wilaya.

Polepole akasema hakuna chama chenye sera nzuri kama CCM.

Polepole akasifu uchaguzi mdogo ambao wapinzani walisusia, na kusema CCM imeshinda kwa kishindo, wananchi wameonesha imani yao kw CCM.

Polepole akaja kusema kuwa katiba mpya siyo muhimu kwa sasa.

Hivi mtu mnafiki, mwongo na kigeugeu kama Polepole kuna haja ya kuyapa umuhimu maneno yake?

Huyu, ikitokea leo Rais Magufuli ameondolewa madarakani kwa nguvu (haitatokea ni mfano tu), mtu kama Polepole akapewa cheo na mtawala mpya, anaweza kuwa ndiye msemaji mkuu wa kuisema vibaya CCM na Rais Magufuli.

Hata siku moja, usimwamini wala kujivunia mtu mwongo na mnafiki. Mtu ambaye katika maisha yake haijulikani hata anasimamia nini. CCM haitakiwi kujivunia kuwa na mtu mnafiki kama Polepole.
Hata musiba ukimpokonya tonge yaani njia yake ya chooni ianze ota nyasi ni lzm atayakana yake
 
Kwani Mbowe ni Masiha hapaswi kutajwa? Au kwasababu mnamjua ni bonge la kilaza ndio maana mnakuwa mabubu kujibu kila anapotajwa? Sasa subirini Oktoba, 2020, mpaka mtakimbiana!!!!
Ccm inamuwaza zaidi mbowe kuliko kuwaza shida za watz
 
  • Eti unakuta mwanasiasa anaenda kujibebesha kwa mabeberu ili wamsaidie kuingia madarakani, sasa lini atajitambua kuwa anapotawala nchi sio sehemu ya mabeberu? Tutaendelea kudharaulika sana, hakuna namna.
Kushirikiana na mabeberu kuna leta maendeleo ttzo ni watawala wabovu
 
Back
Top Bottom