Kesho
Huyu jamaa anaijua vizuri Afrika tulikuwa naye pale Bagamoyo!Afrika ina uwezo wakuhudumia Asia, Ulaya, Marekani, Australia lakini hawawezi kwa sababu wana tatizo moja tuu.
Viongozi wao ndio tatizo
#Vladimir_Putin
Hakika haya maneno yana ukweli ndani yake. View attachment 1423946
In God we Trust
Hapo hapo unawakuta wanao wabeza mabeberu, wanawapigia magoti kuomba msaada wa kupambana na milipuko ya magonjwa
In God we Trust
Polepole ni janga pale lumumba
In God we Trust
Kakoseaje? Yule jamaa alukuwa zaidi ya kiongozi.Kwa Gaddafi kokosea, ila mengine yote ni kweli.