Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,145
- 33,019
Mara ngapi?
Mara ngapi?
Lakini mbona tukipiga kura tunarudisha sampuli hizohizo? Nani katuloga Africa? Tunasubiri mzungu atuletee viongozi wazuri Africa? Its shame!!!
nilikua nataka niupitie huu uzi bila kuchangia lolote sababu naona watu washaleta ujinga wao wa CCM na ujinga wao wa CHADEMAHakuna ushahidi kama amesema hivyo ILA watu weusi popote walipo duniani sio Afrika tu HAWAWEZI KUJIONGOZA.
Hawapendani, wana majungu na ni watu wa hovyohovyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kushirikiana na mabeberu kuna leta maendeleo ttzo ni watawala wabovu
Hayana chanzo wala link ya ulipoyatoa hayo?Afrika ina uwezo wakuhudumia Asia, Ulaya, Marekani, Australia lakini hawawezi kwa sababu wana tatizo moja tuu.
Viongozi wao ndio tatizo
#Vladimir_Putin
Hakika haya maneno yana ukweli ndani yake. View attachment 1423946
In God we Trust
Kabisa Chiefnilikua nataka niupitie huu uzi bila kuchangia lolote sababu naona watu washaleta ujinga wao wa CCM na ujinga wao wa CHADEMA
ila umeongea ukweli mchungu asee waafrika ama watu weusi sijajua mpaka sasa tunakwamia wapi
ama ule msemo tunaosema watu weupe ndio bora ndio unaotugharimu ?![emoji22][emoji22][emoji22]
Sent using My COVID-19
Acheni kumlisha jamaa maneno.Afrika ina uwezo wakuhudumia Asia, Ulaya, Marekani, Australia lakini hawawezi kwa sababu wana tatizo moja tuu.
Viongozi wao ndio tatizo
#Vladimir_Putin
Hakika haya maneno yana ukweli ndani yake. View attachment 1423946
In God we Trust
Najidhalilisha mimi au wewe unayeshindwa kutetea hoja zako?Unajidhalilisha bure
In God we Trust
Kwanini? Mbowe sio tishio lolote kwa CCM na Serikali yake.Ccm inamuwaza zaidi mbowe kuliko kuwaza shida za watz
Hill wala usiwe na wasiwasi nalo. Na ungelikuwa unajitahidi kupata updates zake wala usingekuwa na mashaka.Ni Hadi vitakapokamilika ndio mseme isijeishia kwenye kuchimba chimba tu mkaachia njiani
Nitajie kiongozi bora wa Africa unayedhani kamzidi Gaddafi...Usinitajie wanasiasaKwa Gaddafi kokosea, ila mengine yote ni kweli.
CCM Ya sahivi kila kijana ni mropokaji tu ona hili jani la kundeKama kuna baadhi ya watanzania (Baavicha) wanategemea "Lissu" ndio aje kuwa mgombea wao kweli tuna safari ndefu...
Maana mtu mwenyewe yupo kuwasujudia hao mabeberu...
Bora tuendelee kuongozwa na Ccm kuliko upinzani maana hawakawii kuiuza Tanzania yote kwa hao mabeberu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutwa kucha mara kesi Mara kubomoa Mali zake kuzuia mikutano nk.Kama sio tishio kwann mfanye hayoKwanini? Mbowe sio tishio lolote kwa CCM na Serikali yake.
Kwa hio ttzo ni viongoziKuna ushirikiano na maagizo, maelekezo, ushirikianao mnafanya kwa kuheshimiana, maelekezo na maagizo, unatumwa kufanya hivyo unashushwa chini, na ndo nchi za Africa tunaojipendekeza tuafanyiwa na hayo mabeberu