Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi awasili Tanzania, aweka jiwe la msingi hospitali ya rufaa ya kanda Burigi, Chato

Hata hivyo yeye anaishi nje ya mji kama ulivyosema ana allergy na maeneo ya mjini. Anaishi Chamwino.

Pumbavvv kabisa, nani kakwambia Chato ni kijijini? Chato kuba beach kali na hotel za 4 hadi 5 stars.
Hizo hoteli zote zinamilikiwa na Jiwe ndio maana anazitafutia soko kwa njia hii
 
Kubaabeki...

Azindue basi na Benki Kuu Tawi la Chato, Makao Makuu ya Jeshi Kanda ya Chato na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Campus ya Chato!
 
Mimi nimejifunza jambo kubwa sana. Wasomi wengi wa kitanzania wana tabia ya kusahau walikotoka, hawayajui hats makaburi ya babu zao. Watoto zao wanàchojua ni am fain, am okee.

Wanaenda kwao ili kupata ubunge, akishapata basis mpaka mwaka was kisiasa tena. Tujifunze kukumbuka nyumbani, kuna watu wana maisha ya fahari mijini ukienda kwao ni aibu, wakienda kwao wanafikia hoteli alafu ndugu wanakuja kumsalimia hotelini,
 
Back
Top Bottom