Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi awasili Tanzania, aweka jiwe la msingi hospitali ya rufaa ya kanda Burigi, Chato

Elimu bure ndiyo hii mnayowapokonya wananchi mbuzi na kuku wakishindwa kutoa pesa za kujenga madarasa??
Unaongea umbea na uongo tu, hakuna mtu aliyepokonywa kitu, wananchi wazalendo kushirikiana na serikali kwenye matatizo madogo madogo hakujaanza leo. Hakuna mtoto anayelipa ada kwa sasa, na huko mbele hamutalipa kwa ajilibya afya. Mheshimiwa Magufuli amejitolea kuijenga hii nchi, kama sio mzalendo ufunge tu limdomo lako sio tu kumkatisha tamaa , utalifungua tukianza kula mema ya nchi yaliyojengwa na Mheshimiwa Magufuli.
 
Hata hivyo yeye anaishi nje ya mji kama ulivyosema ana allergy na maeneo ya mjini. Anaishi Chamwino.

Pumbavvv kabisa, nani kakwambia Chato ni kijijini? Chato kuba beach kali na hotel za 4 hadi 5 stars.
Garbage
 
Back
Top Bottom