Serikali ya CCM haifanyi reform kwa shinikizo la chama kimoja cha waropokaji. Kwenye Ilani ya CCM Samia ataleta katiba mpya.
Kwa nini kila mtu awe ni CHADEMA; hakuna waTanzania wengine wasiotaka upuuzi wenu wasiotaka muendelee kuwavurugia nchi yao?Chadema nyinyi jiandaeni kuzuia uchaguzi ishakula kwenu
Ni nani aliyekwambia habari potofu kama hiyo.Haya Nyerere hakupenda Kung'atuka,
Hiyo 'theology' wewe uliisomea wa i?Mdomo unaobugia pombe umuombe Mungu yesu na iwe!!?..batili toka utosini hadi vidole vya miguu
Ila, hii, ya, kuaminishana, kwamba, matatizo, yatatoka kwa, maombi tu ni upuuzi, huwezi, kuomba samia, aache kuteka, kuua, kupoteza, kufunga,View attachment 3391090
Rais wa Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC), Wolfgang Pisa ametangaza kuwepo kwa maombi ya kufunga Agosti 23, 2025 kuombea haki na Amani katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Ameyasema hayo Juni 29 katika misa ya kutolewa kwa daraja takatifu la upadre na ushemasi katika parokia ya Mtakatifu Andrea Kagwa kanisa kuu jimbo katoliki Lindi.
Hii ni tafsiri yako mwenyewe, haikuelezwa oote katika taarifa hiyo iliyo tolewa.Ila, hii, ya, kuaminishana, kwamba, matatizo, yatatoka kwa, maombi tu ni upuuzi, huwezi, kuomba samia, aache kuteka, kuua, kupoteza, kufunga,
Sasa wewe unataka maadre waende kanisani kuwahimiza waumini waende mitaani? Unayo akili sawasawa wewe?Angalieni Gen Z wanachofanya Kenya, gen Z waligoma wakaandamana msaada wa bajeti ukatupiliwa mbali, hii ya kuomba Amani, ni, uzwazwa Fulani, unaomba Amani, ili iweje? Mungu awavuvie ccm na kuwabembeleza waache dhuluma, au,?!! Tayari unamjua anayeharibu Amani, mwizi, fisadi, harafu unaenda kuomba Mungu! Mungu Hana, mwili,Kuomba Mungu akupe UJASIR na mbinu za kuwasulubu samia na genge lake
Ni jambo jema kuiombea nchi yetu.👏👏👏View attachment 3391090
Rais wa Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC), Wolfgang Pisa ametangaza kuwepo kwa maombi ya kufunga Agosti 23, 2025 kuombea haki na Amani katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Ameyasema hayo Juni 29 katika misa ya kutolewa kwa daraja takatifu la upadre na ushemasi katika parokia ya Mtakatifu Andrea Kagwa kanisa kuu jimbo katoliki Lindi.
View attachment 3391090