Rais shtuka! Soon utapigiwa kura ya kutokuwa na Imani na wewe. Spika ana-mobilize wabunge kwa kasi sana, kumbuka hakupendi

Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa Kasi sana na ndugui ndo engineer wa Hilo kwa kupitia wabunge na ameanda wachangiaji wa kukushtumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono
Uko sahihi!

Kuna mtandao wa hatari wa kumhujumu mama. Wanajifanya watetezi wa Magufuli lakini wana ajenda yao nyuma ya pazia ya kuhujumu utawala wa mama.

Mama anatakiwa ashitukemapema,vinginevyo hiyo movement atashindwa kuidhibiti.
 
Tanzania hii amirijeshi mkuu atolewe na bunge?
Unaota?
Watu wanavyo ongea utadhani hiyo kura inapigwa na hapo hapo rais anaachia urais hahaaaaa

Wakasome katiba vizuri waone kama ni rahisi hivyo kutekeleza hilo

Mchakato wa hilo jambo unampa nafasi kubwa sana rais kufanya maamuzi yake kabla hata ya kupiga hiyo kura kwa hiyo hilo haliwezekani kabisaaaaaaa muwe na amani
 
Kundi lile ambalo lilikuwa halitaki mama aingie Ikulu lina watu wabaya sana kwa Taifa letu na linahaha kutwa kucha ili kumdhibiti Mama.

Na kama unavyoona kuna juhudi kubwa sana Bungeni ya kuponda ripoti ya CAG ili tu waliinue jiwe lao kwamba limefanya mambo makubwa sana.

Mama akitetereka basi wahuni hao ndiyo watakuwa wameshika usukani which is not a good idea for the future of our beloved country
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa Kasi sana na ndugui ndo engineer wa Hilo kwa kupitia wabunge na ameanda wachangiaji wa kukushtumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono
 
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa Kasi sana na ndugui ndo engineer wa Hilo kwa kupitia wabunge na ameanda wachangiaji wa kukushtumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono
Watu wakomakini tangu wa magu akate roho alianza kuhakikishiwa usalama wake hivyo hilo ondoa shaka labda watumie njia nyingine kama kawaida yao.
Naomb niishie hapo
 
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa Kasi sana na ndugui ndo engineer wa Hilo kwa kupitia wabunge na ameanda wachangiaji wa kukushtumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono
We mtoa mavi umetumia bangi au bange?

Sorry sio mtoa mavi nimemaanisha mtoa mada
 
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa Kasi sana na ndugui ndo engineer wa Hilo kwa kupitia wabunge na ameanda wachangiaji wa kukushtumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono
hofu yao ni katiba mpya hawtaki kabisa nawana hofu huwenda mama akaurejesha mchakato na lingine uwazi, hawapendi uwazi kwani wengi wao siwaaminifu wanajua wataumbuka nakubwa zaidi kwa sasa hawana namna nzuri yakujenga hoja zao za komedi bungeni kwani serikali yamama inataka uwazi,mfano mzuri ninamna yakuijadiri ripoti ya mdhibiti na mkaguzi wahesabu za serikali hapa ndipo pachungu wakifata anavyotaka mama lazima watamsaliti mpendwa wao nakujikuta hawajui wanasimamia nini,maana walioyatetea mwanzo kuwa nimazuri leo ndomabaya je wayapinge au wabaki namsimamo wao hapo ndo kwenye hoja yako.
 
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa Kasi sana na ndugui ndo engineer wa Hilo kwa kupitia wabunge na ameanda wachangiaji wa kukushtumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono
Aaa wapi! Hawana ubavu huo wale! Wakidhubutu, mama naye atalivunja bunge, alafu taga yupi pale unafikiri yupo tayari uchaguzi urudiwe?! Wenzako wana mikopo wale, oh!
Kwa hiyo kama unataka kumtishia Mazaa nyau, utasubiri kwanza!
 
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa Kasi sana na ndugui ndo engineer wa Hilo kwa kupitia wabunge na ameanda wachangiaji wa kukushtumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono
Kabla hawajapiga Kura Mama atalivunjilia Mbali Bunge
 
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa Kasi sana na ndugui ndo engineer wa Hilo kwa kupitia wabunge na ameanda wachangiaji wa kukushtumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono
Mkuu Mungu akupe mama, but hawataweza wajinga hao, Kama wafjkili tz ni nyepesi ngoja wajaribu Ndugai atapewa kisiwa Cha kuishi mwenyewe up to death, na asijalibu ,namwambia
 
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa Kasi sana na ndugui ndo engineer wa Hilo kwa kupitia wabunge na ameanda wachangiaji wa kukushtumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono
Kwani rais hawezi kumfukuza spika?
 
Back
Top Bottom