Rais Samia usiende China ukaacha nchi haina maji wala umeme

Rais Samia usiende China ukaacha nchi haina maji wala umeme

Maji umeme vikisumbua tu sababu inasemwa mvua,Hii ni miaka nenda rudi inajulikana kwanini wasitafute ufumbuzi inasikitisha sana!
 
Sijui kama unauona ukame uliopo hivi sasa katika ukanda huu wa afrika ya mashariki au ndio utaratibu ule ule wa kulalamika bila sababu.

Unajuaje kama huko China hakuna suluhisho la matatizo ya maji tuliyonayo kwa sasa?. Uchungu ulionao wewe wa TZ hao wanasiasa wenye majukumu ya kuongoza nchi wanao pia.

JPM msipambe sana mpaka watu wakafikia hatua ya kumkosea adabu, alikuwa binadamu tu kama mimi na wewe.
Ukichokojoa issue ya walamba asali tu

Vimada wa walamba Asali wanamiminika kuja kutirika humu kama wewe!
 
Kinachoendelea Tanzania ni Uhaini unaofanywa na baadhi ya Mawaziri wa serikali ya awamu ya sita, haiwezekani mgao wa maji ufike mpaka Vijijini hivi ninavyoandika nipo Marangu mtoni maji yanatoka kwa Don mmoja aliyechimba maji chini.

Kama hiyo haitoshi leo ni siku tatu umeme unakatika saa kumi na mbili unarudi muda usio julikana.

Mh Rais tumesikia umealikwa kwenda China tafadhali tunakuomba usiende ukatuacha kwenye Giza na ukosefu wa maji hii ni hatari Kwa Taifa kiusalama.

Mwisho Rais Nina swali kwako na Kwa watawala wenzako hivi Rais Magufuli aliwezaje kuondoka upuuuzi huu UKIWA Makamu ila Leo hii UKIWA Rais unashindwa kumuiga?

Mh Rais usiliache Taifa katika Giza tafadhali!
Kwahiyo akavute maji baharini au
 
Vichaa kama hawa wananishangaza sana... nilishasemaga hapa, hakuna mtu angebaki kumsifia JPM kama tozo za kipuuzi zisingeletwa, bei ya vyakula isingepanda, mgao wa maji usingekuwepo, mgao wa umeme usingekuwepo, bei za bundle zisingepandishwa na bei ya mafuta(petroli n.k) ingeregulatiwa na serikali ili kusaidia uchumi.

Hapo sijaongea kuhusu wafanyabiashara wadogo wadogo waliohamishiwa biashara zao pasipo na miundo mbinu au angalau chochote kutoka serikalini ili mitaji yao isiharibike.
Hizi mbwa sio za kubishana nao..wembe ungekua ule ule kwa mkalia kiti yoyote Yule.
 
Ukichokojoa issue ya walamba asali tu

Vimada wa walamba Asali wanamiminika kuja kutirika humu kama wewe!
Kimada wa hayati JPM unaumia sana moyo maskini, Mmelelewa vibaya sana kwamba mawazo yenu yakipingwa basi anayepinga ana chuki na nyinyi.
 
Huyu Bibi kizee atakuwa Rais wa hovyo kabisa kuwahi kutokea katika historia ya taifa hili.

Kama wapinzani wangekuwa na akili, udhaifu wa huyu bibi kizee ungekuwa kete kwao, lakini kwa kukosa akili kwao wamebakia kumpamba na kumsifia kuliko hata wanachama wa chama chake. Pathetic oppositions!!!
 
Ni mzigo tuko nao
No vision No Mission or the other way round
 
Back
Top Bottom