Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,803
- 95,694
Natafuta kale kaclipHotuba yake ya mwisho kabla hajatangazwa kuwa rais na alishajua atakuwa rais akiwa Tanga alitangaza mwisho wa kukatika umeme lakini matokeo yamekuwa tofauti
Natafuta kale kaclipHotuba yake ya mwisho kabla hajatangazwa kuwa rais na alishajua atakuwa rais akiwa Tanga alitangaza mwisho wa kukatika umeme lakini matokeo yamekuwa tofauti
Ukame na mahangaiko wanayopitia watanzania kwa sasa ni matokeo ya uongozi uliokataliwa kiroho!Sijui kama unauona ukame uliopo hivi sasa katika ukanda huu wa afrika ya mashariki au ndio utaratibu ule ule wa kulalamika bila sababu...
Nakwambia ile Ziara ya Tanga ilikuwa danganya toto ila mchezo wote alikuwa anaujua!Natafuta kale kaclip
Alikuwa ameandamana na mawaziri wanne Ndalichako,, Awesu, Ummy Mwalimu na kati ya Jafo sikumbuki vizuri alikuwa korogweNatafuta kale kaclip
Wewe unaweza kuwa ni kijana mdogo. Uliza waliokuwepo mwaka 1974 watakueleza juu ya ukame tuliokuwa nao pia uliza waliokuwepo mwaka 1984 watakueleza juu ya njaa iliyotesa na kuleta ukame mkubwa. Miaka yote hiyo Mungu amekuwa akiibariki Tanzania kwa namna tofauti tofauti.Ukame na mahangaiko wanayopitia watanzania kwa sasa ni matokeo ya uongozi uliokataliwa kiroho!
Wachache wenye akili wataelewa hili...
Hata nilipo umeme hauko tokea mapema asubuhiKuna mtu kaniambia huko dar kuna sehemu sahivi umeme umekatika,ukijumlisha na mgawo wa maji basi ni balaaa
Ova
Tena tuombe Mungu kisizuke kipindupindu!Hizo gharama za kwenda China ni bora asaidie kupatikana mbinu mbadala wa kusambaza maji kwa wananchi.
Jiji linanuka kwa ukosefu wa maji
Shida ya wanasiasa wanataka waonekane mbele kila sehemu ili watetee ugali.Tena tuombe Mungu kisizuke kipindupindu!
Jana Waziri wa maji Aweso ameenda kufanya maigizo kwenye pampu huko pwani wakati Mkuu wa mkoa juzi kusema Tatizo ni kina cha maji kushuka...
SA100 Kaanzia alipoishia JKKinachoendelea Tanzania ni Uhaini unao fanywa na baadhi ya mawaziri wa serikali ya awamu ya sita, haiwezekani mgao wa maji ufike mpaka Vijijini hivi ninavyoandika nipo Marangu mtoni maji yanatoka kwa Don mmoja aliyechimba maji chini...
Umeoga lknNgoja nitulie nina hasira saana😡😡😡😡