Huyu Mtu hana sababu yoyote ya nafasi muhimu kitaifa kama hii. Siyo kwamba tunamchukia, lakini Hata wewe mh. Rais unatambua kwamba njia aliyopitia kuwa boss wa NHC ni hiyo hiyo aliyotumia wewe kumurudisha na sasa kuwa msajili wa hazina. Labda ilikuwa kukomoa maamuzi ya Magufuli.
Siamini wewe kama rais Samia ulifahamu ubora wake. Yupo mtu aliyekwambia huyu anafaa. Siamini kama uliangalia rekodi yake ya nyuma na uhuni alioufanya akiwa NHC na kushirikiana na mashirika kama NSSF. Bahati mbaya sasa anasimamia mashirika hayo yote.
Je, anaposema mashirika sasa yaajiri yenyewe, Mh. Rais unafahamu sababu zake? Sasa tegemea ajira za ukabila na wizi ktk mashirika yote ya umma. Kumbuka huyu anatoka mkoa wa Njombe. Kwa upande wa serikali pia katibu mkuu kiongozi anatoka mkoa wa Njombe. Kwa ufupi ajira zote za serikali ziko mikononi mwa raia wa Njombe. YETU MACHO