Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,574
- Thread starter
- #121
Jamaa alikuwa ni shetani.
Huwezi kuwa binadamu ukawa na roho mbaya namna ile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa alikuwa ni shetani.
Huwezi kuwa binadamu ukawa na roho mbaya namna ile.
Tuombeane heri mambo yatakuwa sawaWebsite yao ila siku hizi Wametoa hii option... Mimi hadi sasa naitumia
We acha tu tusio na wa kutushika mkono since then mpaka sasa tunasota mkuu!Ndo maana kafa vibaya alikuwa very selfish
NakaziaNIDA, ID tangu 2017 haijatoka
Hamna kazi muifanyayo bora mpuuzwe
Sawa bhana but kumbuka sisi tulishika tu kwenye makali walioshika kwenye mpini ndio changamoto.NIDA ni jipu, cha ajabu kitambulisho cha kura wanakupa on the spot.
Nakazia aliyesema huko mlipo ilipaswa mfukuzwe kwa mara ya pili, wapuuzi kweli nyie.
Kipindi wakati mnaanza mwaka was kwanza kabisa nadhani 2013
Pole sana mkuuKipindi wakati mnaanza mwaka was kwanza kabisa nadhani 2013
Najuuta kuwafahamu
Utakuwa unafanya kazi taasisi fulani iliyoruhusiwa kuingia kwenye mfumo. Si hizi ile ya cha wote wameibana.Website yao ila siku hizi Wametoa hii option... Mimi hadi sasa naitumia
Namba niliipata kwenye mfumo wa Nida miaka minne baadaye.
Unaitumiaje wakati wameshaitoa mkuuWebsite yao ila siku hizi Wametoa hii option... Mimi hadi sasa naitumia
Ujumbe umefika kwa wahusika na nimepata feedback on my dm!Kwa comment hizi mleta mada rudi ukatubu
hahahaUmepataje feedback mkuu na DM yako umefunga nilikua nataka nikutumie ujumbe.
Balaaa kabisaa!yaani hamfai ht kwa kulumagia
Ni namba tu ndicho kilichobakiNIDA, ID tangu 2017 haijatoka
Hamna kazi muifanyayo bora mpuuzwe