Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,222
Nida hawapaswi kurudishwa, Bali waitwe wacharazwe viboko.
ACHA UTAPELITuombee turudi nitaanza kukurekebishia wewe free of charge coz hicho ndicho kitengo changu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nipo Tanga mjini Mtoto ya ndamaAfisa wa NIDA anapita hapa akiwa kafumba macho
Ulidownload kupitia wapi mkuuMimi niliidownload fasta nikatengeneza hardcopy ndo natumia
Kawashitaki mkuuKitambulisho changu kimekosewa jina yaani typing error ya aliyekuwa anafanya data entry nadhani, ila wakaniambia nilipie 20,000. Nikalipa nikafata taratibu zote. Toka 2019 mpaka leo sijaona sehem yoyote imebadilishwa. NIDA ni jipu
Kwani namba uliipataje mkuuNilijua nimebaki peke yangu. Mimi tokea 2013 mkuu hadi leo holla. Hadi nimeacha kufuatilia nasubiri mwaka watakaonitumia msg ya kwenda kuchukua kitambulisho kama bado nitakuwa hai.
Pole sanaNilijua nimebaki peke yangu. Mimi tokea 2013 mkuu hadi leo holla. Hadi nimeacha kufuatilia nasubiri mwaka watakaonitumia msg ya kwenda kuchukua kitambulisho kama bado nitakuwa hai.
Nimeyapokea maoni yakeAfisa wa NIDA anapita hapa akiwa kafumba macho
Ubarikiwe sana mkuu[emoji120]Mrudishwe tu kwa kweli...ili vitambulisho vitoke
Mmekuwa wapoleeePole sana mkuu!
Tukiipata hiyo nafasi tena hizo kero hamtazisikia tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa alikuwa ni shetani.Poleni sana. Mwendazake alitamani nchi nzima isiwe na watumishi kabisa. Alikuwa anaumia sana kuona watu wanapata mishahara
HahahahaaaaaPoleni sana. Mwendazake alitamani nchi nzima isiwe na watumishi kabisa. Alikuwa anaumia sana kuona watu wanapata mishahara
Website yao ila siku hizi Wametoa hii option... Mimi hadi sasa naitumia
Poleni sana. Mwendazake alitamani nchi nzima isiwe na watumishi kabisa. Alikuwa anaumia sana kuona watu wanapata mishahara
Ulifanyiwa mwaka gani mkuu?Mmekuwa wapoleee
Acheni kiburi
Kama mlionifanyia vituko mmepunguzwa na mbaki hukohuko mtaani
Hamna maadili ya kazi!
[emoji24][emoji24][emoji24]Jamaa alikuwa ni shetani.
Huwezi kuwa binadamu ukawa na roho mbaya namna ile.