Rais Samia Suluhu awaapisha Mabalozi Ikulu. Asema Tozo za Miamala zitaendelea ila zitarekebishwa

Mama yupo kwa ajili ya Tanzania, na Tanzania ipo kwa ajili ya mama. Tukiacha kutumia akili tulizopandikizwa na magaidi, tutamuelewa sana bimkubwa. Mama ni mtu wa haki, na ameamua kuisimamia haki bila kujali nani anasema nini.

Akili za kupandikiziwa kuhusu hii chanjo tukiziacha hizo tutafika mbali. Tukizingangania mambo yatakuwa magumu sana. Tumeona rasharasha yake ni matone ya mawe/ barafu, vipi mvua kamili?
 
Why Mama anaapisha mabalozi wengine wasio na vituo? Wanapewa posho, mishahara na magari ya gharama kubwa.

Mwisho wa siku kina Togolani wanashinda twitter kupost meme.
Toka apewe ubalozi amekuwa active sana twitter, nadhani ndio kituo chake cha kazi.
 
Hizi tozo za miamala ya simu tujiandae kuzizoea tu, kwa hii kauli ya Rais wanaweza ondoa 1%
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom