Rais Samia Suluhu awaapisha Mabalozi Ikulu. Asema Tozo za Miamala zitaendelea ila zitarekebishwa

Kwahuyu mama hata angeongoza marekani kodi za kipuuzi zingewekwa tu. Alishindwa nini kuongeza kodi kwenye mabenk ambako watumiaji wake niwatu wa uchumi mzuri anaweka kwa miamara ya mitandao ya sim ambayo watumiaji wake ni wakulima na wafugaji
Roboti.
Huu utaratibu wa Makamu wa raisi kuwa raisi baada ya raisi kufa haufai kabisa kwa ulimwengu wa Sasa ni rahisi kupata madereva wasio sahihi.n
Ni bora uchaguzi mkuu uwe unarudiwa
 
Ina Mana watu wa vijijini tulikuwa hatulipi Kodi jamani ama sio sehemu ya Tanzania ama anamaanishaje.
Mbona ufisaidi unaofanyika hawasemi wawatumbue na wabanwe warudishwe hela zetu Ila wanaachwa jamani
 
Tutaitumia kwenye jambo hili baada ya kusikia vilio vyenu, tunataka fedha hizi zikajenge barabara za vijijini" @SuluhuSamia Ikulu leo
Hii nchi ni ya ajabu sana!!eti tozo nayo inaundiwa kamati ambayo kesho kutwa inawasirisha mapendekezo kwa rais!!
 
Kama lengo lilikuwa kujenga barabara za vijijini kwanini wasitumie mabilioni aliyokusanya DPP mganga kutoka kwa walioitwa wahujumu uchumi au zilienda wapi zile hela?

 
Mawaziri Walipangwa kupigia DEBE hili la TOZO
Wabunge walipangwa kupigia Debe hili la TOZO
SPIKA Alipangwa Kulipigia Debe hili la TOZO
Mpaka Mkaambiwa ASIYETAKA Aende BURUNDI
Mpaka Mkaambiwa LETENI MBADALA
Wabunge MISHAHARA MINONO
MAWAZIRI MISHAHARA MINONO
MAGARI ya KIFAHARI na KODI HAWALIPI
WATANZANIA MASIKINI LIPENI KODI na TOZO MTAKATWA
Ccm Oyee
Wabunge Oyee
Mawaziri Oyee
SAMIA oyee
Masikini Shauri Yenu na UMASIKINI WENU
 
Ni mabalozi wa nchi gani hao walioapishwa??
Siyo lazima kila apewaye hadhi ya Ubalozi apewe nchi ya kufanyia kazi ya kutuwakilisha huko, hapana! Balozi ni cheo au nafasi ya kazi huko kwenye Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Si unakumbuka Komredi Bashiru ni Balozi kwa hadhi, siyo lazima apewe nchi atuwakilishe lakini ikibidi, basi anaweza kupewa nchi au Ofisi yoyote yenye hadhi kama nchi, si umeona Balozi Hoyce Temu ni Balozi lakini kwenye Ofisi yetu pale Geneva, Uswisi ambako kuna Ofisi nyingi ndogo ya UN.
 
Back
Top Bottom