Rais Samia Suluhu awaapisha Mabalozi Ikulu. Asema Tozo za Miamala zitaendelea ila zitarekebishwa

Mama yupo kwa ajili ya Tanzania, na Tanzania ipo kwa ajili ya mama. Tukiacha kutumia akili tulizopandikizwa na magaidi, tutamuelewa sana bimkubwa. Mama ni mtu wa haki, na ameamua kuisimamia haki bila kujali nani anasema nini.
Dictator.
 
Tozo zitaendelea ?, kwani nani alisema zisiendelee, zitarekebishwa lini na vipi ? Hapo ndio kuna tatizo, kila siku zinavyozidi kwenda na huu muendelezo ni hasara kwa biashara za watu (no body is gaining)
 
Akili za kupandikiziwa kuhusu hii chanjo tukiziacha hizo tutafika mbali. Tukizingangania mambo yatakuwa magumu sana. Tumeona rasharasha yake ni matone ya mawe/ barafu, vipi mvua kamili?
Mbowe aliwahi kusema watanzania wapewe chanjo. Sijui alikuwa na lengo gani!
 
Toka apewe ubalozi amekuwa active sana twitter, nadhani ndio kituo chake cha kazi.
Kwani mtu ukiteuliwa huruhusiwi kuwa active twitter?

Lakini pia ukiteuliwa kuwa balozi si lazima ukafanye kazi nje ya nchi

Unaweza kufanya kazi wizarani
 
Ndio maana mmetuletea msamiati unaoitwa tozo kwenye miamala, kwa Nini uapishe mabalozi wasio na vituo vya kwenda kufanya kazi?
Vituo wanavyo amesema wanasubiri vibali toka nchi walizowapangia acha kupotosha vibali vikija wanaenda kwenye vituo vyao
 
Back
Top Bottom