Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 15,778
- 28,423
Kwamba tozo zinazoongezeka inaenda kutumika kujenga Barbara vijijini na huduma ya maji, sasa unajiuliza kodi inayokusanywa inapelekwa wapi?
HAKUNA raisi humo.Mama yupo kwa ajili ya Tanzania, na Tanzania ipo kwa ajili ya mama. Tukiacha kutumia akili tulizopandikizwa na magaidi, tutamuelewa sana bimkubwa. Mama ni mtu wa haki, na ameamua kuisimamia haki bila kujali nani anasema nini.
Ww si unakula kwa shemeji unashida gani bhana!Ufafanuzi utatolewa na wahusika wenyew kati ya Mbowe au Sabaya.
Hii haitompunguzia kitu katika madaraka yake. Ulinzi wake ni uleule, akikagua gwaride mizinga 21 ni ileile na ukuu wa nchi uko palepale.Sitaki tena kuona wala kusikia habari za huyu dikteta mpya wa kwanza wa kike
Mabank yanaimarishwa kijanja. Unaongeza tozo halafu unashusha riba za bank kisha unalegeza vigezo vya uwakala.Hata hicho kidogo watakikosa
Mama yupo kwa ajili ya Tanzania, na Tanzania ipo kwa ajili ya mama. Tukiacha kutumia akili tulizopandikizwa na magaidi, tutamuelewa sana bimkubwa. Mama ni mtu wa haki, na ameamua kuisimamia haki bila kujali nani anasema nini.
Nina tofauti gani na ww unaekula kwa Mbowe?Ww si unakula kwa shemeji unashida gani bhana!
Toka apewe ubalozi amekuwa active sana twitter, nadhani ndio kituo chake cha kazi.Why Mama anaapisha mabalozi wengine wasio na vituo? Wanapewa posho, mishahara na magari ya gharama kubwa.
Mwisho wa siku kina Togolani wanashinda twitter kupost meme.
Hilo nalo nenoMabank yanaimarishwa kijanja. Unaongeza tozo halafu unashusha riba za bank kisha unalegeza vigezo vya uwakala.
🤣🤣🤣Bora huyu Mama wa sasa wa Mambo ya Nje. Enzi zile, yule bwana wa jalalani alikuwa anaanza na historia, then anafundisha kiswahili halafu anamsifia mheshimiwa anaenda kukaa.