Rais Samia Suluhu aongeza bajeti kwa asilimia 230 Ujenzi wa JN-HPP

hongera Rais Samia
 
Mh, hakika mama yetu yuko vizuri,ila napasubiri kwa hamu hapo kwenye kusambaza umeme maana kilio changu siku zote kiko hapo kwani watu wa huko vitongojini hawana umeme bado. Akifanikiwa kusambaza umeme kwenye vitongoji vyote basi atakuwa amemaliza mchezo woote
 
Dk Jakaya
 
Yuko vizuri Sana
 
Kazi nzuri
 
Mama chapa kazi huku mtaani tunakuelewa sana, Usisikilize watu
 
Ndio, Kazi iendelee
 
Kazi inaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…