Rais Samia Suluhu alazimika kufuta post yake ya Twitter aliyotoa taarifa ya kuwasili Dar. Ni baada ya malalamiko kuhusu mabando kuzidi kwa wachangiaji

Usitegemee nyie mliodumaa Ubongo anawahesabia kwenye wengi. Anamaanisha wengi wenye akilli Timamu

Mwenye akili timamu hawezi mchukia Rais wa nchi. Muda huo ataupata wapi. Wanafiki. Tena wasio na Kazi na tena kufuata mkumbo. Are you serious. Kwa Job description ya Rais na mtu makini wapi na wapi.
 
Ile akaunti sijaielewa kabisa...hao wanaoiendesha wapunguze ushamba kidogo

Akaunti ya Mkuu wa Nchi huwa haipost mambo hovyo hovyo....wafuatilie akaunti za viongozi wenzake wajifunze mambo yalivyo

Au hata kwa Mtangulizi wake Hayati JPM..

May be anayeiendesha ile akaunti ya Mama yetu Rais inawezekana mwanamke mwenzie..... kwa sababu wanawake kwa vijipost post hawajambo wanadhani bado ni VP......

Kiufupi yule tayari ni Mkuu wa Nchi..Dunia nzima inamfuatilia 24hrs
Mbona ya Trump ilikua inaposti na alikua Rais wa Taifa kubwa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wananchi tulio wengi si wanachama wa chama chochote kile cha kisiasa. Sisi tunahitaji maisha bora, utawala bora na siasa safi.

Siasa safi kwa mantiki yako haiwezi leta maendeleo TZ ambako kila mtu anajifanya anajua. Kwa Wapinzani, Siasa safi Ni kuhakikisha wananchi wanaona wao ndo nuru mpya. So itakuwa kuombea Serikali ishindwe. Sisi ndo watz. Tunajijua. Pili kuhakikisha Rais aonekane hapendeki ili uchaguzi Uwe mwepesi. Kwa nchi changa kama Tz. Tunahitaji dozi kali miaka 10-20. then muwalete wanasiasa.
 
Asipokuwa makini, na yeye atajikuta anachukiwa na wananchi walio wengi kama ilivyokua kwamtangulizi wake, aliyechagua kuwa mkaidi mwanzo mwisho.
Huyu ni mmoja ya Watanzania walio kuwa ma gay waliokimbia Nchi juu ya Magufuli kukataa vitendo hivyo hapa Tz sasa anapingana na ukweli so sad no RIP Magufuli tutakukumbuka na mengi
 
Hakuna kiongozi yeyote Duniani anayeshinda mtandaoni aliyefanikiwa hakuna na aliyemshauri huyu mama kuwa mtu wa mitandaoni bhasi ajue soon kutaongozwa na mawazo ya wahuni wa Twitter naona anaenda kuungana na wakina Kigwangala

😂 😂
 
Hao ni 2% tu ya raia wote hapa nchini.

Hakuna mtu anapendwa na kuchukiwa na wote, hakuna duniani.

Kama unabisha nioneshe mmoja wapo?

Kwenye familia yako tu mitoto yako kuna baadhi haikuopendi sembuse nchi ya watu milioni 60?

Hata Rais wangu Samia hawezi kuingia kwenye mtego wa kijinga kwamba eti atapendwa na kila mtu

Mitoto yako kuna baadhi haikupendi ....duh 😂😂😂
 
Back
Top Bottom