Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,489
- 2,399
Damu ya Mbowe inakulilia kwasabb wewe ndiye kiongozi mkuu wa chama tawala na serikali.
Wafuasi wa Mbowe kucha kutwa wanajenga chuki dhidi yako mpk hapo utakapomwachia kiongozi wao.
Familia ya Mbowe inakulilia usiku na mchana, inapoamka, inapokula na inapolala.
Mliopo karibu na Samia mwambieni amwachie Mbowe. Siyo gaidi.
Mkuu ukishafika huko ni sheria tu inayotakiwa kuamua. Subiri tu mbowe atatoka kama hana hatia