usishirikishe wakristo ktk upuuzi wako huu,kama huamini hili nawewe ni mkristo una shida sehem.
 
Mteule wa Mungu
 
Wewe na don nalimison mtakua na undugunwa damu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Bado mtamsifia hata akienda msalani,nuhu aliishia tanzania heri ukose hela sio akili
 
Endeleeni Kumpa Utukufu wa Mungu
Mungu Mwenye Wivu atakaposhuka na kumalizana nae Kama Yule mungu wenu wa Chuttle tusilaumiane tukinywa Beer
 
Mvua zimekaribia na zitanyesha nyingi sana nchi nzima kuanzia mwishoni mwa juma hili. Hakuna jipya hapo. CHAWA.
 
Anapigwa mkwara mtabiri wa halk ya hewa anatoa majibu lini mvua itanyesha safari inapangwa simple.
Na ole wake auze mechi.
 
Hata shetani anaweza kufanya miujiza na hii ndio ishara yao wananena kama malaika na wanatenda kama joka

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mungu yuko na Tanzania
 
YUKO NA MUNGU HUYU MAMA
 
Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan,
 
Unajua jinsi JPM alivyoitwa Yesu na kusifiwa kijinga jinga na nini kilimpata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…