Rais Samia ndiye Rais anayeenda kuiua CCM

Ni suala la muda tu.

Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.

Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.

Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.

Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.

Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
Tatizo raisi aliyepita alikuwa si mwanasiasa bali ni mtawala, mambo yake alitumia nguvu nyingi ndiyo maana alikasirishwa hata na wasani waliyokuwa wakiimba nyimbo za kuikosoa serikali. Uhuru wa watanzania ni zaidi ya CCM na serikali yake, ndiyo maana watu wengi wanashangilia hata 40 ya marehemu haijakwisha.
 
Ni suala la muda tu.

Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.

Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.

Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.

Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.

Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
Kubalini kuwa enzi zenu zimekwisha! Acheni kutupigia kelele
 
IMG-20210406-WA0087.jpg
 
Kwa nini tumekuwa waoga hivi?hata kama JPM angekuwepo bado angefikia ukomo kama wa sasa!Inashangaza kuendelea kudhani angekuwa nasi milele!Siasa hubadilika kulingana na wakati uliopo.Tujenge nchi yetu kwa fikra za sasa na sio zilizopita.
 
Acha Ccm Ife Tu
Mbona Unateseka Wewe
😥😣😏🙄😶😑😐
 
Kabla sijasoma post yako mkuu napmba niseme wazo lako ndilo nililokuwa nalo na umewahi kuwasilisha kabla yangu! Ni kweli kabisa rais SSH hajajua wanaompa suport na kufurahia aendelee anayoyafanya ni wapinzani ili mwisho wa siku wamuite dhaifu na wachukue point pale CCM itakapoingia kaburini.R.I.P CCM
Ccm ikifa ndio utakuwa mwanzo wa nchi yetu kupata maendeleo ya kweli! Hili li chama limewatesa sana Watanzania kama litakufa itakuwa habari njema kwa raia!
 
Ilikua ccm dictator nyuma ya mwanazengo maskini/mnyonge chini ya dola dhaifu...Mwenyekitu turidishie ccm yakuhoji na kujibu maswala kutoka upande pili bila mauaji,kufungia vyombo habari ,kuruhusu kurudi kwa ccm ile bado uwezo pia wakufikiria vijana nchini utarudi

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Mama Samia Amekalia kuti Kavu anawaregezea kamba wale Watu ambao Mtangulizi wake aliwatumbuwa Majipu? Watamuangusha muda sio mrefu.
Hayo ni mawazo yako. kila mtu ana mawazo yake. Kukalia kuti kavu HAPANA..Kila mtu ana staili yake ya kuongoza.
 
Yaani nimefikia hapo na kuacha kusoma hapo kwenye habari za wanyonge
 
Ni suala la muda tu.

Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.

Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.

Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.

Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.

Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!

Uko sahihi tu kama kungekuwa na chama mbadala

CCM haitakufa ila watarudi kugawana njia kuu zote za uchumi

Na hapo wanayemdharau atakapokumbukwa
 
Kabla sijasoma post yako mkuu napmba niseme wazo lako ndilo nililokuwa nalo na umewahi kuwasilisha kabla yangu! Ni kweli kabisa rais SSH hajajua wanaompa suport na kufurahia aendelee anayoyafanya ni wapinzani ili mwisho wa siku wamuite dhaifu na wachukue point pale CCM itakapoingia kaburini.R.I.P CCM

watamgeuka na kumchora katuni zote
 
Back
Top Bottom