Miaka michache tu nyuma ilikuwa kukatiza mtaani umevaa nguo ya CCM ni tatizo. Magu alijaribu kurudisha heshima kwa chama chake, huyu mama kwa nyendo zake anarudi kulekule kwa kasi ya 5G.Uko sahihi tu kama kungekuwa na chama mbadala
CCM haitakufa ila watarudi kugawana njia kuu zote za uchumi
Na hapo wanayemdharau atakapokumbukwa
Namhurumia sana Mh Mpango.Upo kwenye mawazo yangu. Ndo maana wapinzani wanamshabikia sana
Unaweza kuwa huru lakini hauna hakiTatizo raisi aliyepita alikuwa si mwanasiasa bali ni mtawala, mambo yake alitumia nguvu nyingi ndiyo maana alikasirishwa hata na wasani waliyokuwa wakiimba nyimbo za kuikosoa serikali. Uhuru wa watanzania ni zaidi ya CCM na serikali yake, ndiyo maana watu wengi wanashangilia hata 40 ya marehemu haijakwisha.
Tafuta pesa angalia familia yakoNi suala la muda tu.
Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.
Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.
Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.
Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.
Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
Na hifadhi ya BurigiKwa udhamini wa Chato Empire.
Wewe uliiona CCM ipo hai kwasababu ya ubabe wa Magufuli,Magufuli iliipasua CCM vipandevipande,hivi ushindi kwa wabunge wengi kwenye uchaguzi uliopita ulikuwa halali?Ni suala la muda tu.
Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.
Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.
Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.
Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.
Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
Kuua CCM siyo shida kwa vile vyama vingine vya Siasa vipo Kisheria. Tatizo ungeniambia Mama Samia ataiua Tanzania hapo ningesikitika. Masilahi ya Taifa kwanza na vyama vije baadaye.Ni suala la muda tu.
Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.
Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.
Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.
Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.
Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
Ni suala la muda tu.

Mkuu usiwe na wasiwasi. Tunawalegeza wanasaccos kwanza ili wakija kuamka tayari kumekucha na leo Mama Samia amekuja na msemo mpya KAZI INAENDELEA! Wanasaccos wanafikiri kazi imesimama acha walale usingizi wa pono!!Ni suala la muda tu.
Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.
Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.
Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.
Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.
Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
Vipi wewe hujarudi CCM? Wanasaccos wenzako karibu wote wamesharudi kwenye Chama Dume!! Mkuu wahi seat zisije zikajaa!!Hakuna ccm bila madaraka ya urais, cheo cha mwenyekiti wa ccm ambapo mara nyingi huambatanishwa na madaraka ya urais ndio mbeleko pekee ya ccm kuendelea kuwa hai. Hayo mambo ya wanyonge ni utapeli wa mchana kweupe ambao ccm inautumia kama kichaka cha kujifichia.
Vipi wewe hujarudi CCM? Wanasaccos wenzako karibu wote wamesharudi kwenye Chama Dume!! Mkuu wahi seat zisije zikajaa!!
Wewe mbona nakuona ni mzee kuliko mimi?Hakuna kijana anayejitambua anaweza kujiunga na chama cha kizee, labda msaka fursa, na asiyejitambua.