Rais Samia ndiye Rais anayeenda kuiua CCM

Ni suala la muda tu.

Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.

Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.

Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.

Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.

Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
Zama za udikteta zilikwisha.Mfate jiwe kuzimu akuongoze
 
CCM ilikufa siku nyingi lilibaki genge la wachuuzi wa vyeo tu.
 
Kabla sijasoma post yako mkuu napmba niseme wazo lako ndilo nililokuwa nalo na umewahi kuwasilisha kabla yangu! Ni kweli kabisa rais SSH hajajua wanaompa suport na kufurahia aendelee anayoyafanya ni wapinzani ili mwisho wa siku wamuite dhaifu na wachukue point pale CCM itakapoingia kaburini.R.I.P CCM
Kuna watu wa ovyo sana hii nchi yani mama kutaka investors kuja nchini kaonekana mdhaifu kweli magu aliwaaribu akili tatizo mna mentality za wachache washine sasa tunaenda kushine wote baada ya mzunguko wa hela kuja mtaani its a matter of time. Mama kawa wazi kabsa watu wafanye kazi, wananchi wawe huru, hela ikusanye na mzunguko wa hela uongezeke sasa kama tafsiri yako ni udhaifu utakuwa unatatizo kubwa kichwani sana hamna tafauti na mzazi anayemuonea wivu mtoto wake akifanikiwa kimaisha.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Ni suala la muda tu.

Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.

Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.

Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.

Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.

Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
Watakupinga tu
 
Hahahaaaaaa CHATO GROUP AT WORK nasikia mna mtandao wa kumkwamisha mama baada ya kuona kama anamuanika kisayansi mungu mtu wenu niwajuze tu mnafuatiliwa kwa ukaribu sana taarifa zinakusanywa.
 
Ccm ilisha jifia zamani, usimsingizie bi mkubwa wetu.
Ni suala la muda tu.

Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.

Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.

Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.

Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.

Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
 
Nyerere Hatumkumbuki itakuwaje yeye.
wakatyi waUtawala wa Baba wa Taifa Mwalim Nyerere wewe hata kuzaliwa hujazaliwa.Utawezaje kumkumbuka Baba waTaifa Mwalimu Nyerere? tuulize sisi tunaye mjuwa Mwali nyerere enzi za utawala wake tutakwambia .Wewe hujuwi kitu historia ya nchi yako kaa kimya ikiwezekana.
 
Mlizoea kutumia ubabe na kulindwa na policcm ili kuhakikisha ccm inabaki madarakani,sasa siasa za kistaarabu zimeanza kurejea mnaanza kuwa na wasiwasi
 
Kabla sijasoma post yako mkuu napmba niseme wazo lako ndilo nililokuwa nalo na umewahi kuwasilisha kabla yangu! Ni kweli kabisa rais SSH hajajua wanaompa suport na kufurahia aendelee anayoyafanya ni wapinzani ili mwisho wa siku wamuite dhaifu na wachukue point pale CCM itakapoingia kaburini.R.I.P CCM
Ccm ilishakufa. Ipo kwa nguvu wa wizi wa kura.
 
wakatyi waUtawala wa Baba wa Taifa Mwalim Nyerere wewe hata kuzaliwa hujazaliwa.Utawezaje kumkumbuka Baba waTaifa Mwalimu Nyerere? tuulize sisi tunaye mjuwa Mwali nyerere enzi za utawala wake tutakwambia .Wewe hujuwi kitu historia ya nchi yako kaa kimya ikiwezekana.
Kwahio Mkuu umejiridhisha Kabisa.. na Hii Argument yako.. No wonder unasema Tutamkumbuka Magufuli.
 
Anakumbukwa Magufuli kwa yale aliyoyafanya Mungu amuweke mahali pema amin. Wewe asingekuwa Hayati Rais Magufuli kuwepo Madarakani kungelikuwepo na Maendeleo yoyote yale? wewe Angalia utawala uliopita wamiaka 30 Tangu Rais wa pili Mzee wa Ruksa akaja Mzee Mkapa na Akaja Mzee Kikwete je kulikuwa kuna maendeleo yoyot yale? fananisha na Miaka 6 aliyokuwaMadarakani Mtetezi wa Wanyonge na mpenda watu masikini Hayati Rais Magufuli. Je huna macho ya kuona?Au mpaka uvalishwe miwani ya macho? Tumia akili yako kisha utapata jibu kamili Kati ya hao Marasi 4 Rais mwinyi, Rais Mkapa ,Rais Kikwete na Rais hayati Magufuli nani alikuwa ni Kiongozi bora wa kuigwa na kfuatwa mfano wake? Jibu unalo mwenyewe amka kaka usilale usingizi.

MAMBO 16 ALIYOYAFANYA RAIS MAGUFULI WAKATI WA UTAWALA WAKE. ATAKUMBUKWA SIKU ZOTE.

MAMBO 16 ALIYOYAFANYA RAIS MAGUFULI.jpg
 
Ni suala la muda tu.

Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.

Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.

Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.

Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.

Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
Kwahiyo ni bora angebaki mtangulizi wake? Inamaana hakuna anaeweza kuendesha nchi kwa weledi? Basi inaamaana CCM haina machinery ya watawala bora? Hebu tusikatiri flan anajua kuliko mwingine mama apewe nafasi.
 
Back
Top Bottom