Acha kumtisha na atishiki, wewe unataka watu waonewe? Kusiwe na mazingira mazuri kwa wawekezaji, tra wapore fedha akaunti za wafanyabiashara, kubambikia kodi unapenda? Magu kiukweli ana dhamani kubwa sana, usitake na mama aendeleze madhambi, sasa watz wanavutana juu ya ubora wa jiwe, nasikia ati wanapendekeza kwenye sarafu kuwe na picha yake HAIKUBALIKI baadhi wanamchulia kama amewaweka katika hali ngumu wakati haikuwa lazima hawatendee hivyo! Kama kutolipa madeni ya ndani, kutopandisha mishahara/madaraja, kupora ushindi uchaguzi, kupendelea kwao na ukanda wake, bila kujali ameanzisha miradi gani, ila kama kwa dhuluma basi si mfano wa kuigwa! Apumzike kwa amani Mungu anajua!