Rais Samia ndiye Rais anayeenda kuiua CCM

jitombashisho

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
667
2,242
Ni suala la muda tu.

Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.

Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.

Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.

Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.

Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
 
Hivi nyie Mataga mnafikiria kwa kutumia nini hivi? Kwann Marehemu aliwaharibu sana akili nyie?

1. Wewe watu wakilipa kodi kwa haki ndio wanakuwa sio wanyonge?

2. Kuvifungia vyombo vya habari kwa sababu vimeruhusu mawazo mbadala ndio unyonge unaotakiwa?

Nyie kwenu unyonge hivi mnauchukuliaje hivi?

Kwann mnqchanganyikiwa kabisa na uongozi wa mama wa watu? Hebu acheni ujinga basi
 
RIP JOHN POMBE MAGUFULI RAIS WA TANZANIA.jpg
 
Kwani Chato umeua we kamongo? Mbona hutaki kurudi? Au uchawi wenu unawaaminisha JIWE litafufuka?
 
Ni suala la muda tu.

Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.

Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.

Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.

Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.

Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
Mama Samia Amekalia kuti Kavu anawaregezea kamba wale Watu ambao Mtangulizi wake aliwatumbuwa Majipu? Watamuangusha muda sio mrefu.
 
kama watanzania wataishi vizuri kwa CCM kufa acha ife tu......lakini pia tujifunze kutofautisha propaganda na ukweli, kuna mahala watanzania tulikuwa tunaishi maisha ya propaganda na uwongo uwongo sana mpaka baadhi ya WaAfrica wenzetu wakaamini..
 
Ni suala la muda tu.

Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.

Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.

Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.

Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.

Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
ulichoandika siyo kweli,wewe hujui kitu.Tungeendelea kutekeleza misimamo ya watanzania nchi ingeanguka.kwani unafikiri CCM ilikuwa hai? ilishakufa ila ilikuwa inaishi kwenye "ventillator" ambazo ni TISS,POLICE,TUME nk
 
Kabla sijasoma post yako mkuu napmba niseme wazo lako ndilo nililokuwa nalo na umewahi kuwasilisha kabla yangu! Ni kweli kabisa rais SSH hajajua wanaompa suport na kufurahia aendelee anayoyafanya ni wapinzani ili mwisho wa siku wamuite dhaifu na wachukue point pale CCM itakapoingia kaburini.R.I.P CCM
 
Hivi nyie Mataga mnafikiria kwa kutumia nini hivi? Kwann Marehemu aliwaharibu sana akili nyie?

1. Wewe watu wakilipa kodi kwa haki ndio wanakuwa sio wanyonge?

2. Kuvifungia vyombo vya habari kwa sababu vimeruhusu mawazo mbadala ndio unyonge unaotakiwa?

Nyie kwenu unyonge hivi mnauchukuliaje hivi?

Kwann mnqchanganyikiwa kabisa na uongozi wa mama wa watu? Hebu acheni ujinga basi
Dawa imewaingia vizuri sana mpaka kwenye mfupa. Bado wataendelea kuweweseka sana.
 
Back
Top Bottom