Rais Samia ndiye Rais anayeenda kuiua CCM

Ni suala la muda tu.

Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.

Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.

Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.

Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.

Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
Mtu mwenyewe unajitombha mwenyewe unamshauri nani?
 
SSH ni mtu wa haki bin haki....
ukienda haki bin haki CCM haipo itapukutika hata wao wanajua
Kama Ni hivo basi itakuwa kazi sana kwa SSH! Tunaweza kushudia mnyukano mkali sana ndani ya CCM!! Wale ambao hawatataka kuona CCM inapotea watatumia kila mbinu kumhujumu mama. For that matter she must very very careful....!!!!
 
Wale waliokuwa wakimpenda Magufuli ni ama walikuwa miongoni mwa waliokuwa na maslahi binafsi kupitia yeye(baadhi ya ndugu zake na rafiki zake na wategemezi wao) ama ni wale waliokuwa na wivu na maendeleo ya wengine(kwao wao kila aliyefanikiwa ni fisadi) hawa ni kama wachawi fulani yaani mtu anafurahi kwa vile kuna watu wameanguka kimaisha, makundi yote haya mawili ni wapumbavu na ndio walioanza kumchukia Samia maana yeye anaweka uwanja sawa watu wote wapambane kwa haki.
ume describe so called wanyonge. na hizi ndio zilikuwa characters zao.
 
Ni suala la muda tu.

Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.

Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.

Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.

Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.

Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
Hivi hao mnaowaita wanyonge ktk miaka mitano hiyo kuna ahueni gani huyo mnyonge ameipata??kama ni hospitalini hali ni ile ile, maisha bora yale ya jk, au ule ujinga uliokuwa ukitumika kuwapumbaza wajinga, akimpatia mlemavu mmoja milioni 8, za kununua bajaji tayari , anawapenda wanyonge?akienda muhimbili akamlipia mnyonge mmoja gharama za matibabu tayari ??kuna wangapi wenye matatizo hayo??kwenye mgogoro wa ardhi akimrudishia kiwanja mmoja tayari ?!!
 
Ni suala la muda tu.

Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.

Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.

Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.

Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.

Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!

Huna lolote, nyinyi ndio mliokuwa munafurahia watu kupotezwa na kuuliwa ni watu wasiojulikana, watu kubambikiziwa makesi, wizi wa kura na kila aina ya udhalimu.

Sasa umeona ndani ya siku 21 mama anajaribu kuwafuta watu machozi roho zina kuumeni sana, mama anatengeneza legasi yake hata hao chadema watakuja kuichagua ccm 2025

Kuna watanzania wanafuki, matukio ya kihuni yaliyokuwa yanafanyika kuna watanzania walikuwa wanafurahia., watanzania hawana haja ya vyama kama ccm itawatendea haki na kuwaletea maendeleo ya kweli kwann ccm isiimarike?

Ondoeni ile dhana kwamba ikitajwa ccm watanzania wapate hisia ni utawala wa kidikteta unaofanya kila aina ya dhulma kwa watu.

Mama samia bado ni mapema aendelee kupewa muda ingawa ndani ya siku 21 ameonyesha waziwazi kwamba mwendazake alikuwa weakness kubwa kwenye baadhi ya maeneo mengi, sasa mama kaja kuonyesha tofauti roho zina kuumeni
 
Ni suala la muda tu.

Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.

Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.

Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.

Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.

Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

THE RISE & FALL OF CHATO EMPIRE
 
Ni suala la muda tu.

Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.

Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.

Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.

Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.

Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
Mama anatafutwa kupendwa na kila MTU, which is impossible kwa wanadamu tulivyo wanafiki hasa wabongo tuliozea upigaji badala ya kupata kipato kwa uhalisia wako.
Hapa raia wanamlia timing tu atakapokuja kushituka, itakuwa too late,ngoja tuone, tutarudi zama za ruksa na jk.
 
Mama anafanya kazi nzuri tu kuna watu wanaweweseka sijajua kwanini? . .. Nchi lazima iendelee Na leadership style hazifanani.
 
Mama anatafutwa kupendwa na kila MTU, which is impossible kwa wanadamu tulivyo wanafiki hasa wabongo tuliozea upigaji badala ya kupata kipato kwa uhalisia wako.
Hapa raia wanamlia timing tu atakapokuja kushituka, itakuwa too late,ngoja tuone, tutarudi zama za ruksa na jk.
Kipindi ambacho upigaji ulikua hamna ndo maisha yamezidi kuwa magumu hakuna ajira, mikopo elimu ya juu imekua migumu, biashara nyingi zimekufa na watu wengi wamepotea. Acha mama afanye yake tutakuja kumjaji baadae.
 
Nchi inahitaji watu wenye maono kwa ajili ya Watanzania,
Tanzania sio ccm au upinzani,Tanzania ni sisi wananchi,
Kitu kikubsa ambacho kinaweza kumbeba mama ni ukweli,uwazi na uwajibikaji.
Upinzani huwa wanapata hoja pale mambo yanapopelekwa ndivyo sivyo.
Kikubwa haki italiinua Taifa wala sio chama bali ni uongozi imara unaotenda haki!!
" Mama simamia haki na katiba na Mungu akuongoze...Kazi iendeleee"
 
Mama Samia Amekalia kuti Kavu anawaregezea kamba wale Watu ambao Mtangulizi wake aliwatumbuwa Majipu? Watamuangusha muda sio mrefu.
Walishawahi kumuangusha rais gani kabla?
Kubalini jiwe hakuwa na maarifa ya uongozi zaidi ya ubabe,utekaji,uporaji wa mali za wafanyabiashara na uhuni kama huo.
 
Ni suala la muda tu.

Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.

Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.

Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.

Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.

Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
Magufuli alirudisha zama za kuchapa viboko watu kikoloni
 
Itawale ccm or cdm, mtu mweusi ni yule yule tu. Uroho ndio hulka kwa kila jambo from utawala to ishu ndogobdogo za kazi. Cdm haina college inatrain leaders nor is ccm. Ni mtu na upeo wake.

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Wale mliokuwa mkifaidika na dhuluma za huyo mwendazake, mnakasirika sana mama anapokuja na sera za usawa baina ya watanzania wote
Subiria wawekezaji wa nje waje kuwekeza Tanzania huku wakiwaajiri wasio watanzania
 
Ni suala la muda tu.

Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.

Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.

Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.

Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.

Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
Upo kwenye mawazo yangu. Ndo maana wapinzani wanamshabikia sana
 
Back
Top Bottom