Kufungulia vyombo vya habari kupiga domo ndio itatupeleka uchumi wa juu? Acheni upuuzi upuuzi bado tu hamjajifunza kwa awamu zilizopita kwa kuendekeza siasa za watu badala ya maendeleo.Mandela alisema hakuna uhuru katika umasikini.Nanyi mnataka vyote! InasikitishaHivi nyie Mataga mnafikiria kwa kutumia nini hivi? Kwann Marehemu aliwaharibu sana akili nyie?
1. Wewe watu wakilipa kodi kwa haki ndio wanakuwa sio wanyonge?
2. Kuvifungia vyombo vya habari kwa sababu vimeruhusu mawazo mbadala ndio unyonge unaotakiwa?
Nyie kwenu unyonge hivi mnauchukuliaje hivi?
Kwann mnqchanganyikiwa kabisa na uongozi wa mama wa watu? Hebu acheni ujinga basi
Hahahaha mbona amekuja na salamu mpya za kazi iendeleee.....Ni suala la muda tu.
Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.
Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.
Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.
Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.
Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
Una lako jambo wewe sio bure, CCM ipo sana sio leo wala kesho.Ni suala la muda tu.
Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.
Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.
Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.
Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.
Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
Mliozoea kubaki madarakani kwa nguvu ya jeshi kaeni mguu upande.Ni suala la muda tu.
Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.
Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.
Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.
Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.
Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
maslahi yameguswa. my guess ni lile kundi la mzeeJamaa unazunguka kuanzisha mada za kumpinga Madame President sijui una ugomvi gani na yeye.
Hiyo ni ndoto. Kinacho iweka CCM madarakani ni katiba mbovu iliyopo. Na kamwe CCM haitakubali mchakato wa katiba mpya, naye kasema wanaoongelea katiba wasubirie. Maagizo mengi aliyoyatoa yanakinzana na sheria mbovu zilizotungwa, zingine zikipelekwa bungeni kwa hati ya dharula. Angeanza na serikali kupeleka mswada wa kufuta sheria hizo.Ni suala la muda tu.
Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.
Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.
Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.
Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.
Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
😂 😂 😂Kwa udhamini wa Chato Empire.
Ni suala la muda tu.

Kuiua alafu nani anachukua nchi? Chadema? Act??Ni suala la muda tu.

Kwa kubebwa na dola. Kukiwa na level sawa uwanja wa mapambano, CCM itaomba poo mapema mno.Amka kwenye hiyo ndoto ni mbaya sana, angalia sasa unaweweseka. CCM ni kubwa sana kwa upinzani wa Tanzania.
Hamna wapinzani bongo hii wa kutawala nchi hata rais angekua Pierre Liquid.Kabla sijasoma post yako mkuu napmba niseme wazo lako ndilo nililokuwa nalo na umewahi kuwasilisha kabla yangu! Ni kweli kabisa rais SSH hajajua wanaompa suport na kufurahia aendelee anayoyafanya ni wapinzani ili mwisho wa siku wamuite dhaifu na wachukue point pale CCM itakapoingia kaburini.R.I.P CCM
Kwako Magufuli is a Saint!!Mama Samia Amekalia kuti Kavu anawaregezea kamba wale Watu ambao Mtangulizi wake aliwatumbuwa Majipu? Watamuangusha muda sio mrefu.
Unauefaidika na unyama wa CCM ni wewe, usisemee wengine.Kabla sijasoma post yako mkuu napmba niseme wazo lako ndilo nililokuwa nalo na umewahi kuwasilisha kabla yangu! Ni kweli kabisa rais SSH hajajua wanaompa suport na kufurahia aendelee anayoyafanya ni wapinzani ili mwisho wa siku wamuite dhaifu na wachukue point pale CCM itakapoingia kaburini.R.I.P CCM
Wale mliokuwa mkifaidika na dhuluma za huyo mwendazake, mnakasirika sana mama anapokuja na sera za usawa baina ya watanzania woteNi suala la muda tu.