Mawakaili wa utetezi imewapasa kulikumbuka hili , Kama wataleta utani imewapasa kujua kesi hii imehukumiwa na Raisi kabla ya kusikilizwa, kwa hyo Hawa majaji hawataenda kinyume na maoni ya kiongozi wao!Sheria [katiba] inamlinda kushitakiwa yeye binafsi kwa makosa ya jinai anapokuwa na hata atakapokuwa ametoka madarakani...
Aje hivyo hivyo, maana huyo anaijua kesi hii kuliko majaji ndo maana alijichukulia mammlaka ya kuhukumu, kwa huyo ni shahidi wa muhimu Sana katika kesi hii Wala wasilete mwakilishi!Yule hana jipya zaidi ya kutafuta huruma ya maumbile yake,yani yupo kwende kundi la mazuzu
Kwani unaona Kuna utofauti Kati ya matendo yaliyofanywa na Makaburu dhidi ya wapigania haki wa SA, na matendo yanayoendelea hivi Sasa ya CCM dhidi ya wapinzani?Sijaelewa kusita kwa Mama kuagiza kufutwa kwa sintofahamu hii kwa taifa. Miaka 60 ya Uhuru taifa linaendesha Shauri la kizandiki linalopaka matope taifa na kuharibu umoja wa taifa kwa makusudi!?!? Ujinga huu walifanya Makaburu SA Zama zile.
Zero naye wanamkawiza, zamu yake ingefika mapema, aje athibitishe!Kwa mujibu wa jarida la Sauti Kubwa wanaomlisha matango pori rais na wahandisi wa kesi hii ni Zerro na bamkwe Waziri Mchengerwa.
Ikumbukwe Katiba mpya ndiyo hiyo iko Mahakamani, Sasa Sijui hiyo katiba mpya unayoipendekeza kwa Nia njema itapatikanaje??Labda katiba mpya ipatikane ndo anaweza kusimama mahakamani....ila saivi vyoooote anamiliki yeye Chief hangaya
Ndiyo maana huyu ni mtu muhimu Sana katika kesi hii, nitawashangaa upande wa utetezi Kama watamkalia kimya!Si ni CHIEF HANGAYA
GeniusSheria [katiba] inamlinda kushitakiwa yeye binafsi kwa makosa ya jinai anapokuwa na hata atakapokuwa ametoka madarakani...
Hii kesi ya Mh Mbowe ina mambo mengi ya kufikirisha sanaWakuu, nadhani wote tunakumbuka Nini kilijiri katika mahojiano ya mwenye nchi na Salimu Kikeke.
Lakin Kuna sintofahamu kuwa hata mpelelezi wa kesi hii hafahamu kuwa Mh.Mbowe alichelewa kukamatwa kwa sababu alikimbia nje ya nchi!
Sasa hizi habari Rais alizitoa wapi?
Haiwezekani akaitwa ili kuisaidia Mahakama kuuondoa utata huu?
Haitatokea kwa katiba iliyopo, we jua hata akiamua aue maelfu akiwasomba na kuwamwaga baharini hatoshtakiwa!Ndiyo maana huyu ni mtu muhimu Sana katika kesi hii, nitawashangaa upande wa utetezi Kama watamkalia kimya!
Wamwite ili anisaidie mahakama, ili pia iwe fundisho kwa viongozi wengineo kuwa si Jambo la busara kuingilia kazi inayosimamiwa na muhimili mwingine!!
Unasema kweli Rais wa Tanzania anaweza kukiuka kiapo chake kiasi hicho asishtakiwe atakuwa kamzidi madaraka Mungu!!Haitatokea kwa katiba iliyopo, we jua hata akiamua aue maelfu akiwasomba na kuwamwaga baharini hatoshtakiwa!
Na hasa wanaccmSifa kuu ya Mwanasiasa ni Uongo.