sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,134
- 4,252
Hata chanjo ya Corona na dawa za kufubaza virus vya Ukwimi zinaletwa kwa hisani ya watu wa Marekani.Kwahio wewe zile story za SGR tunaijenga kwa pesa zetu za ndani unazikubali?
Hata chanjo ya Corona na dawa za kufubaza virus vya Ukwimi zinaletwa kwa hisani ya watu wa Marekani.Kwahio wewe zile story za SGR tunaijenga kwa pesa zetu za ndani unazikubali?
Kwani ni nani aliyempigia Kura?Toka ameapishwa hajawahi fika Arusha, Mbeya, Iringa au hata hapo kibaha tu ila keshakwenda Kenya, Burundi, Msumbiji
Rais akumbuke wapiga kura wake zaidi ya hizo nchi za nje.
Acha mama akajifunze huko namna ya kuto cheka na kima, asije akavuna mabua
Watu wanamlaumu bure tu.... Hata Mugabe aliiba dhahabu DRC ila hazikusaidia watu wake same to Museveni aliiba mpaka magogo!! Ila bado hakugawana keki na wananchi.Yale madini ya RDC. Yameanza kuonesha matunda kwa Rwanda
Madini ya RDC yanajenga kiwanda cha simu janja yanajenga kiwanda cha magari Volkswagen
Cc@mng'ato zitto junior
View attachment 1878598
Na ndio tofauti ya PK na wengine jamaa anajua 'Fursa' na kuzitumia sasa anaenda Mozambique kuchukua mafuta .siku watanzania wakiacha kulalama watajikuta rwanda wako mbali sanaWatu wanamlaumu bure tu.... Hata Mugabe aliiba dhahabu DRC ila hazikusaidia watu wake same to Museveni aliiba mpaka magogo!! Ila bado hakugawana keki na wananchi.
That being said naona ubabe wake umenufaisha watu wake and that's what matters in the end. Sie tumekalia kumkosoa tu lakini maviongozi wanakufa mabilionea huku wananchi wakiwa maskini.
Watu wanamlaumu bure tu.... Hata Mugabe aliiba dhahabu DRC ila hazikusaidia watu wake same to Museveni aliiba mpaka magogo!! Ila bado hakugawana keki na wananchi.
That being said naona ubabe wake umenufaisha watu wake and that's what matters in the end. Sie tumekalia kumkosoa tu lakini maviongozi wanakufa mabilionea huku wananchi wakiwa maskini.
Points mkuu umesema..hoja yako ni nzuri sana.
..Raisi atakayetutoa Watz ni yule atakayewekeza seriously ktk kilimo.
..bajeti ya kilimo mwaka jana na mwaka huu ni bilioni 294.
..bajeti ya kununua midege toka kwa mabeberu ni trillioni 2.
..na midege imekuwa ikitutia hasara mwaka hadi mwaka.
..kimahesabu ni kwamba bajeti ya midege ni mara 6 ya bajeti ya kilimo.
..Na kilimo kimebeba asilimia zaidi ya 60% ya Watz.
..bila kuachana na dharau kwa wakulima Watz tutaendelea kuyasikia maendeleo redioni.
Hivi kile kiwanda cha simu janja na magari cha IPP kilifikia Wapi ? Mwenye taarifa tafadhaliYale madini ya RDC. Yameanza kuonesha matunda kwa Rwanda
Madini ya RDC yanajenga kiwanda cha simu janja yanajenga kiwanda cha magari Volkswagen
Cc@mng'ato zitto junior
View attachment 1878598
Hahahaha asijifunze ubabe Bali ajifunze mazuri rwanda yako mengiyakujifunzahahq..Duh!!
..mnataka akajifunze ukatili na kuharibu maisha ya anaowaongoza?!!
..badala ya kujifunza namna ya kuboresha uchumi na maisha ya Watz??
Hahahahq asee sijuiHivi kile kiwanda cha simu janja na magari cha IPP kilifikia Wapi ? Mwenye taarifa tafadhali
kwakweli watanzania wenzangu na haswa viongozi mliopewa Dhamana kama vile Mwaziri, Makatibu wakuu ma watendaji wengine ktk taasisi mbalimbali kama kweli mnaipenda Tanzania basi kuna jambo la kujifunza kutoka Rwanda.Hahahaha asijifunze ubabe Bali ajifunze mazuri rwanda yako mengiyakujifunzahahq
Hahahahq asee sijui
hah
View attachment 1878632
Hahahaha Tanzania ni porojo tu kutwa porojo mitandaoni bila tijakwakweli watanzania wenzangu na haswa viongozi mliopewa Dhamana kama vile Mwaziri, Makatibu wakuu ma watendaji wengine ktk taasisi mbalimbali kama kweli mnaipenda Tanzania basi kuna jambo la kujifunza kutoka Rwanda.
nimeshangaa sana kuona Magari yanayo unganishwa ktk kiwanda kilichopo Rwanda.
nimeshangaa sana kuona Kuna kiwanda cha kutengeneza simu, hivi watanzania nani katuloga?!
maneno mengi hakuna matendo,
kila mara wanateuliwa wasomi, maprofesa, madokta lkn hakuna tija wala mabadiliko.
Rwanda ni nchi iliyo pitia vipindi vigumu sana lkn leo hii.sisi amabao tumedumu ktk Amani na utulivu bado tunachonga maneno tu!
nimekasirika sana inabidi tukimbie ktk kufanya maendeleo.
Mungu ibariki Tanzania
Tayari nina file huko.Suala la mtu aliezoea kukanyaga kanyaga na kubaka katiba yetu pamoja na sheria zetu kuwa Rais ni suala la aibu ambalo linapaswa kupingwa na kila mwenye pumzi.
Ni punguani peke yake au kichaa ndiye anaweza kufurahia kuona Rais akivunja katiba,sheria na kuonea watu.Kama upo katika kundi hili nakushauri kuwa uwahi mirembe haraka sana ukafunguliwe file la kudumu kwani siyo hali ya kawaida kwa binadamu ambae ni mzima kufurahia kitendo cha katiba na sheria za nchi kuvunjwa ovyo ovyo na watawala.
Waliwakilishwa na wawakilishi wao ambao waliagizwa kuja kwenye msiba lakini kg kachukua muda sana kutuma salamu... Ni kama mnafiki fulani mimi nionavyo na sio jamaa wakuamini!!! Kikawaida hata mimi na wewe tukikosana kwenye jambo fulani tutaparangana sana" lakini ikitokea msiba kati yetu tunaweka tofauti zetu pembeni na tunakuwa wamoja....!!!!! Huu ndo uingwana mkuu wanguM7 na yule rais wa Burundi wao walikuja msibani?
Uongo mtupu.Waliwakilishwa na wawakilishi wao ambao waliagizwa kuja kwenye msiba lakini kg kachukua muda sana kutuma salamu... Ni kama mnafiki fulani mimi nionavyo na sio jamaa wakuamini!!! Kikawaida hata mimi na wewe tukikosana kwenye jambo fulani tutaparangana sana" lakini ikitokea msiba kati yetu tunaweka tofauti zetu pembeni na tunakuwa wamoja....!!!!! Huu ndo uingwana mkuu wangu
Sent using Jamii Forums mobile app