Nakubari kiongosiHii nchi kama haina Rais.
Mali za kurithi huwa hazina vibe kabisa.
Acha mama akajifunze huko namna ya kuto cheka na kima, asije akavuna mabua
Kwahio wewe zile story za SGR tunaijenga kwa pesa zetu za ndani unazikubali?Raisi SSH kapata mwaliko kutoka kwa Raisi Kagame,Nahisi ni maswala ya usalama nchi katika
maziwa makuu,hasa machafuko ya mara kwa mara katika DRC mji wa Goma.
Kumbuka Tanzania ina majeshi yake pale DRC
Jambo jingine ni makubaliano ya SGR Reli ya kati kuelekea Rwanda lakini sidhani Rwanda ina uwezo wa kujenga kipande hicho bila kupata msaada wa wafadhili.
Na labda jingine ni msimamo wa nchi hizo mbili kuhusu matumizi ya mto Nile.
Mwisho ni jinsi ya kupambana na Covid-19.
Toka ameapishwa hajawahi fika Arusha, Mbeya, Iringa au hata hapo kibaha tu ila keshakwenda Kenya, Burundi, Msumbiji
Rais akumbuke wapiga kura wake zaidi ya hizo nchi za nje.
M7 na yule rais wa Burundi wao walikuja msibani?Una hoja ya msingi sana hapa mkuu... Ni kweli ilibidi atembelewe lakini ndo kwanza kodi ya hiari inatumika bila tija!!!! Kwa mfano apo kwa Kagame kuna issue gani yenye faida kwetu kwa tz mpaka afunge safari... Wakati mwamba hata kuja kwa msiba hakuja
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetoka kusikiliza remarks za rais akiwa rwanda nikajiuliza hivi kuna utamaduni wa kabla rais hajaapiswa Tz labda anaapiswa kwanza kuwa mnafikina kusema uongo. Ndiyo kesho aapishwe rasmi maana samia anaongopa hadharani kuwa Tanzania kuna amani na utulivu baina ya wanainchi na serikali nimesikitika sana.Anaenda kupata short course
😄😄😄 Sasa mkuu ulitaka asemaje?Nimetoka kusikiliza remarks za rais akiwa rwanda nikajiuliza hivi kuna utamaduni wa kabla rais hajaapiswa Tz labda anaapiswa kwanza kuwa mnafikina kusema uongo. Ndiyo kesho aapishwe rasmi maana samia anaongopa hadharani kuwa Tanzania kuna amani na utulivu baina ya wanainchi na serikali nimesikitika sana.
.Acha mama akajifunze huko namna ya kuto cheka na kima, asije akavuna mabua
Tutaanza kuokota watu kwenye sandarusi kule Coco BeachKaenda kuchota ujuzi wa kuua upinzani nchini!!Rwanda hakuna chochote cha maana cha sisi kupata zaidi ya mbinu za kidikteta!!!ZIARA HAINA AFYA KWA USTAWI WA NCHI YETU!!!NOTE THIS COMMENT!!!
M7 alikujaM7 na yule rais wa Burundi wao walikuja msibani?
So kweli, msibani alikuja Kenyatta tu kwa hapa E/Africa.M7 alikuja
Unaloongea ni sahihi kabisa. Kagame yule marekani ni mlezi wake si umeona ametoka uganda kaenda kuchukua rwanda hajabanduka hadi leo na angalia alivyoiharibu congo hadi leo mashariki ya congo hakukaliki yeye na masela wenzake wanazoa rasilimali anajenga rwanda kama ulaya bongo haiifikii. Sasa subirini mkizubaa tu kutengeneza katiba mpya nchi itakuwa ya kupelekeshwa kama ilivyo sasa mkianza kupigana tu wanazama kuanza kuzoa rasilimali wazi wazi huku mnaangaliKagame akili kubwa huwenda siku moja akatutawala
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app