Rais Samia kuwa makini na Rais Paul Kagame

Sijuhi kwanini watanzania wengi wanamuogopa Kagame (siyo Rwanda) na kuwachukia WAkenya?!!
 
Majira haya ya asubuhi hii Rais Samia yupo safarini kuelekea Kigali Rwanda kwa mwaliko wa siku mbili na mwenyeji wake Paul Kagame (PK), nakumbuka JPM alipoingia tu madarakani alijenga sana urafiki na PK lakini baada ya muda mfupi tu urafiki wao ukaingia mchanga na vumbi baada ya hapo huyu PK akawa haji tena Tanzania na JPM aendi tena huko anapoenda SHH, navyojua mimi kwa haraka haraka PK ni mzee wa fursa sana hawezi kujenga urafiki na wewe pasipo na faida, ni jasusi mkubwa wa kiuchumi.

Walipishana sana na JK kutokana na JK kushtukia huyu mtu anataka vitu ambavyo haviwezekaniki mathalani mtu anakuambia niachie bandari hii alafu ushuru na tozo nitalipa kwa asilimia 70 alafu asilimia 30 itaingia katika serikali ya Rwanda, JK alishtukia mchezo wakatemana baada ya kuona kuwa katika urafiki kuna mmoja ni chawa wa uchumi.

Sasa naona Samia Suluhu nae kaliunga huko huko Rwanda, yetu macho tusubirie tu mana mda utatuambia kama ulivyotuambia katika enzi za mwendazake leo ni tarehe 2/8/2021.
Kwan Rwanda si mizigo yao mingi inapitia bandari ya Mombasa ibakie huko huko MSA izo mambo za 70% akamwambie swahiba wake UK
 
Majira haya ya asubuhi hii Rais Samia yupo safarini kuelekea Kigali Rwanda kwa mwaliko wa siku mbili na mwenyeji wake Paul Kagame (PK), nakumbuka JPM alipoingia tu madarakani alijenga sana urafiki na PK lakini baada ya muda mfupi tu urafiki wao ukaingia mchanga na vumbi baada ya hapo huyu PK akawa haji tena Tanzania na JPM aendi tena huko anapoenda SHH, navyojua mimi kwa haraka haraka PK ni mzee wa fursa sana hawezi kujenga urafiki na wewe pasipo na faida, ni jasusi mkubwa wa kiuchumi.

Walipishana sana na JK kutokana na JK kushtukia huyu mtu anataka vitu ambavyo haviwezekaniki mathalani mtu anakuambia niachie bandari hii alafu ushuru na tozo nitalipa kwa asilimia 70 alafu asilimia 30 itaingia katika serikali ya Rwanda, JK alishtukia mchezo wakatemana baada ya kuona kuwa katika urafiki kuna mmoja ni chawa wa uchumi.

Sasa naona Samia Suluhu nae kaliunga huko huko Rwanda, yetu macho tusubirie tu mana mda utatuambia kama ulivyotuambia katika enzi za mwendazake leo ni tarehe 2/8/2021.
Tulia kwani kwetu ni mashariki ya kweli jua linaanzia kwetu Tanga, wanajua na anajua usiwaze boss
 
SSH doing what she can do best..kuruka na mwewe..

Hivi kwanini Rwanda tunawaogopa sana?..ina maana inteligensia yetu itaruhusu Mama awe manipulated na huyu Slim bila kumwambia Mama hapa unaingia chaka?..

Labda kama mama naye ni mbabe na hasikilizi vyombo vyetu vya ushauri.
It's fear of unknown. Zaidi sana PK is overrated. Watu wako na stories za vijiweni ambazo ni absolutely baseless
 
SSH doing what she can do best..kuruka na mwewe..

Hivi kwanini Rwanda tunawaogopa sana?..ina maana inteligensia yetu itaruhusu Mama awe manipulated na huyu Slim bila kumwambia Mama hapa unaingia chaka?..

Labda kama mama naye ni mbabe na hasikilizi vyombo vyetu vya ushauri.
Jamaa ni war monger ,blood thirst an hypocrite, he is a dog all bad names he has
 
Back
Top Bottom