MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 20,897
- 63,783
A Cold-War RelicTatizo sio samia,tatizo ni old school intelligence agency TISS
A Cold-War RelicTatizo sio samia,tatizo ni old school intelligence agency TISS
Kwan Rwanda si mizigo yao mingi inapitia bandari ya Mombasa ibakie huko huko MSA izo mambo za 70% akamwambie swahiba wake UKMajira haya ya asubuhi hii Rais Samia yupo safarini kuelekea Kigali Rwanda kwa mwaliko wa siku mbili na mwenyeji wake Paul Kagame (PK), nakumbuka JPM alipoingia tu madarakani alijenga sana urafiki na PK lakini baada ya muda mfupi tu urafiki wao ukaingia mchanga na vumbi baada ya hapo huyu PK akawa haji tena Tanzania na JPM aendi tena huko anapoenda SHH, navyojua mimi kwa haraka haraka PK ni mzee wa fursa sana hawezi kujenga urafiki na wewe pasipo na faida, ni jasusi mkubwa wa kiuchumi.
Walipishana sana na JK kutokana na JK kushtukia huyu mtu anataka vitu ambavyo haviwezekaniki mathalani mtu anakuambia niachie bandari hii alafu ushuru na tozo nitalipa kwa asilimia 70 alafu asilimia 30 itaingia katika serikali ya Rwanda, JK alishtukia mchezo wakatemana baada ya kuona kuwa katika urafiki kuna mmoja ni chawa wa uchumi.
Sasa naona Samia Suluhu nae kaliunga huko huko Rwanda, yetu macho tusubirie tu mana mda utatuambia kama ulivyotuambia katika enzi za mwendazake leo ni tarehe 2/8/2021.
USA & Europe ataendaje ingali hajapata chanjo ya covid-19Lile Mama la kambo halina akili,linazunguka tu hapa Afrika mashariki utafikiri kuwa dunia ni Afrika mashariki peke yake.She is clown.
Tulia kwani kwetu ni mashariki ya kweli jua linaanzia kwetu Tanga, wanajua na anajua usiwaze bossMajira haya ya asubuhi hii Rais Samia yupo safarini kuelekea Kigali Rwanda kwa mwaliko wa siku mbili na mwenyeji wake Paul Kagame (PK), nakumbuka JPM alipoingia tu madarakani alijenga sana urafiki na PK lakini baada ya muda mfupi tu urafiki wao ukaingia mchanga na vumbi baada ya hapo huyu PK akawa haji tena Tanzania na JPM aendi tena huko anapoenda SHH, navyojua mimi kwa haraka haraka PK ni mzee wa fursa sana hawezi kujenga urafiki na wewe pasipo na faida, ni jasusi mkubwa wa kiuchumi.
Walipishana sana na JK kutokana na JK kushtukia huyu mtu anataka vitu ambavyo haviwezekaniki mathalani mtu anakuambia niachie bandari hii alafu ushuru na tozo nitalipa kwa asilimia 70 alafu asilimia 30 itaingia katika serikali ya Rwanda, JK alishtukia mchezo wakatemana baada ya kuona kuwa katika urafiki kuna mmoja ni chawa wa uchumi.
Sasa naona Samia Suluhu nae kaliunga huko huko Rwanda, yetu macho tusubirie tu mana mda utatuambia kama ulivyotuambia katika enzi za mwendazake leo ni tarehe 2/8/2021.
It's fear of unknown. Zaidi sana PK is overrated. Watu wako na stories za vijiweni ambazo ni absolutely baselessSSH doing what she can do best..kuruka na mwewe..
Hivi kwanini Rwanda tunawaogopa sana?..ina maana inteligensia yetu itaruhusu Mama awe manipulated na huyu Slim bila kumwambia Mama hapa unaingia chaka?..
Labda kama mama naye ni mbabe na hasikilizi vyombo vyetu vya ushauri.
Jamaa ni war monger ,blood thirst an hypocrite, he is a dog all bad names he hasSSH doing what she can do best..kuruka na mwewe..