EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
- Thread starter
- #21
Kua basi hata kidogo hata kama 5000 sio kubwa usiibembeleze saaana [emoji23][emoji23]Akili za kichadema ni janga
Kua basi hata kidogo hata kama 5000 sio kubwa usiibembeleze saaana [emoji23][emoji23]Akili za kichadema ni janga
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] watu wa HOVYO kama weweAah mama katupia tuvushe mama
Sio kweli rudi kwa waliopita ukimuondoa JPMAmiri jeshi mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama ,yupo sahihi
Hiyo kesi Mbowe atashinda, wamlitia mkenge tu MamaRais mjanja sana, kwa hiyo picha wale jamaa wa sukumagang wanashangilia, halafu akitoka hapo anaenda kuingiza chaguo la msoga kwenye system, hapo anakuwa ameyalainisha makundi yote chamani kwake akiwa kama mwenyekiti wao.
Balaa linabaki kwa wapinzani, ni mwendo wa kuwabambika kesi na kupeleka mahakamani mashahidi vihiyo wasiojua hata kukariri.
Ni moja ya alama ya kutojiamini mpaka kuvaa sare ya jeshi, aangalie awamu zingine namna ya kuwa Rais sio kuiga awamu ya 5Sio kweli rudi kwa waliopita ukimuondoa JPM
Usishi Kwa kukopy na kupesty ,,( akiri za kuona na kusikia CHANGANYA na za kwako .au hujui maana ya Amiri jeshi mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalamaSio kweli rudi kwa waliopita ukimuondoa JPM
Demokrasia siyo kokakola.Nimeona hii picha inazurura mitandaoni
Nijuzeni anataka kufikisha ujumbe gani kwa taifa?
Au ndio ye na JPJM ni SAWASAWA?
[emoji1313][emoji1313][emoji1313]
AU anakumbushia KMKM "kama alipitia"View attachment 2011620
Huna "akili" sio AKIRIUsishi Kwa kukopy na kupesty ,,( akiri za kuona na kusikia CHANGANYA na za kwako .au hujui maana ya Amiri jeshi mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama
Jk ambaye alikuwa KANALI wa JESHI alishawahi kuzivaa akiwa AMIRI JESHI MKUU au Mwinyi au Mkapa?
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756] na kutisha raiaNi moja ya alama ya kutojiamini mpaka kuvaa sare ya jeshi, aangalia awamu zingine jinsi ya kuwa Rais sio kuiga awamu ya 5
Fafanua[emoji848][emoji848]Demokrasia siyo kokakola.
Watu wote wanaozikimbilia hizo Uniform za jeshi huwa wanamatatizo fulani,huwa roho zao hazijatulia kwenye viti vyao.Jk ambaye alikuwa KANALI wa JESHI alishawahi kuzivaa akiwa AMIRI JESHI MKUU au Mwinyi au Mkapa?
We ni pimbi kama katiba tu haifati huoni hapa kama kakosea SARE ZA JESHI MARA NYINGI WANAVAA MADIKTETA WALIOINGIA MADARAKANI KWA MAPINDUZI WAKIWA WANAJESHI angaliaNi wapi katiba inasema kila Rais lazima aige yale yaliyofanywa na JK?
Kavunja nini kwa kuvaa hayo magwanda?
Mnajikuta mnajua mambo ya jeshi kuliko CDF mwenyewe aliyenaye hapo.
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1312][emoji1312]Watu wote wanaozikimbilia hizo Uniform za jeshi huwa wanamatatizo fulani,huwa roho zao hazijatulia kwenye viti vyao.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee.....
We ni pimbi kama katiba tu haifati huoni hapa kama kakosea SARE ZA JESHI MARA NYINGI WANAVAA MADIKTETA WALIOINGIA MADARAKANI KWA MAPINDUZI WAKIWA WANAJESHI angalia
UG
RWANDA
ETHIOPIA
MISRI
the list is too long to mention
Hata Uhuru hafanyi huo upuuziUshawahi kumuona hata KIDUKU wa N. KOREA akivaa sare za jeshi?