Rais Samia kuvaa sare za Jeshi. Je, kaanza vitisho?

Rais Samia kuvaa sare za Jeshi. Je, kaanza vitisho?

Ningeona wapo sahihi angarau wangekuwa wapo kwenye field ya kijeshi kama vita, operation au mazoezi ya kijeshi ila kwenda kwenye kikao sidhani kama no sahihi. Nyerere mwenyewe alivaa nguo kombati za mgambo wakati yupo kwenye vita ya kagera na nguo za JKT wakati wanafanya mafunzo ya JKT kwa mujibu
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756] hayanaga akili haya mapimbi
Screenshot_20211115-212616_Google.jpg
 
Nimeona hii picha inazurura mitandaoni
Nijuzeni anataka kufikisha ujumbe gani kwa taifa?

Au ndio ye na JPJM ni SAWASAWA?
[emoji1313][emoji1313][emoji1313]

AU anakumbushia KMKM "kama alipitia"
DUNIANI KOTE MARAIS WANAOVAA SARE ZA JESHI NI WALE WALIOINGIA MADARAKANI KWA MTUTU WA BUNDUKI

HASA AFRIKA, ASIA NA AMERIKA YA KUSINI

View attachment 2011620
Atamtisha nani sasa , hivi kuna mwanaccm wa kuvuka vitisho vya jiwe , leo yuko wapi ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Uamuzi. Hamna chochote kinachomzuia Amir jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama kuvaa gwanda lolote lile hata akitaka za scout anavaa na hamna kitu mtafanya.
Subwufa tulia akili haipo hapo
 
Nimeona hii picha inazurura mitandaoni
Nijuzeni anataka kufikisha ujumbe gani kwa taifa?

Au ndio ye na JPJM ni SAWASAWA?
[emoji1313][emoji1313][emoji1313]

AU anakumbushia KMKM "kama alipitia"
DUNIANI KOTE MARAIS WANAOVAA SARE ZA JESHI NI WALE WALIOINGIA MADARAKANI KWA MTUTU WA BUNDUKI

HASA AFRIKA, ASIA NA AMERIKA YA KUSINI

View attachment 2011620
Huyu ana hulka zote za JPM.
 
Tunapenda sana kukuza mambo.
Kiitifaki na tukio lenyewe ilibidi avae sema tafsiri zimekuwa nyingi.
Siyo kweli JK katoa KAMISHENI NGAPI PALE TMA MONDULI?? Unajua pia alishakuwa kiongozi pale?

Alishawahi vaa jezi??
 
Kuna kosa gani kama nikimsifia mtu kwamba ni mrembo na ametokeleza ndani ya Magwanda ya Jeshi? Hebu punguza hisia... hata mama yangu huwa ninamwambia hivyo hivyo kwamba baba asipo kaa chonjo, watu wengine watamtunzia na tunacheka tu... kuweni free na mfurahini kuongea na wazazi wenu bila uoga...
Hongera kwa ulivyolelewa. Na kuwa free kupita misingi ya umri na mipaka mini uongee na nani na wapi kwa wakati gani.
 
Kuna kosa gani kama nikimsifia mtu kwamba ni mrembo na ametokeleza ndani ya Magwanda ya Jeshi? Hebu punguza hisia... hata mama yangu huwa ninamwambia hivyo hivyo kwamba baba asipo kaa chonjo, watu wengine watamtunzia na tunacheka tu... kuweni free na mfurahini kuongea na wazazi wenu bila uoga...
Lastborn[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom