EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,716
- Thread starter
- #241
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1312][emoji1312][emoji1312]Mimi leo kwa mara ya kwanza nimeona msambwanda wa kiunguja.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1312][emoji1312][emoji1312]Mimi leo kwa mara ya kwanza nimeona msambwanda wa kiunguja.
Umezaliwa na mzazi? Umekosa nidhamu hapa jukwaani.Siyo maadili na utamaduni kwa hicho ulichoandika.Ni mrembo haswa, sijui ni lini mmewe atampa takala ili njema nyengine imdake na kumpa ligwaride linalo mstahili... amemfaidi vya kutosha... kwa kweli...
Kama unalielewa vizuri JW na jibu la swali lako utalipata.What if she asked?
CCM INA MACHIZI WA HOVYO njoo na hoja na siku akifungua KIKAO CHA POLISI NA MAGEREZA AVAE tena COMBAT? coz she's CIC OF ARMED FORCES TUONEJamaa ni mkurupukaji kweli.....
Licha ya kukumbushwa hayo katika michango mingi hapa bado tu anang'ang'ana [emoji1787][emoji1787]
Huu nao ni aina ya UCHIZI......
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] TEMBEA NA AKILI PIMBI WEWEHizo sasa ndio za Amri Jeshi
Maraisi wanapikutana na wanajeshi huwa wanavaa hivyo
Hapo Bush kavaa jacket ya Amiri Jeshi mkuu na sio kaazima kwa sergeant mmoja hapo
Yaani unabisha ili kupotezea kuniita kenge au hutaki kukubali kuwa umenikosea
Anyway I forgive you
Have a nice evening
Inasikitisha sana kuona kijana mwenzetu hana aibu ya nafsi yake hata kama hajazaliwa na wazazi.....Umezaliwa na mzazi? Umekosa nidhamu hapa jukwaani.Siyo maadili na utamaduni kwa hicho ulichoandika.
Jeshi ni mamlaka, wengi wanavaa ivyo ili kuonesha mamlaka yao, na hiyo kwa watu wenye inferior complexUamuzi. Hamna chochote kinachomzuia Amir jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama kuvaa gwanda lolote lile hata akitaka za scout anavaa na hamna kitu mtafanya.
Akili yako kama PUNJE ya HARADANIHizo sasa ndio za Amri Jeshi
Maraisi wanapikutana na wanajeshi huwa wanavaa hivyo
Hapo Bush kavaa jacket ya Amiri Jeshi mkuu na sio kaazima kwa sergeant mmoja hapo
Yaani unabisha ili kupotezea kuniita kenge au hutaki kukubali kuwa umenikosea
Anyway I forgive you
Have a nice evening
Umepita wapi huko na hujui chochote? Ulifundishwa na MGAMBO niulize niliyepitia 601KJ [emoji574]pimbi wewe, back in late 80'sYeye kaniita kenge bila kujiridhisha halafu tatizo hajui kuwa hata mimi nimepita huko sana tu
Hilo jacket kavaa Bush na Obama inatosha kabisa kumuonesha kuwa ni Amiri Jeshi Mkuu ila jamaa hajui huwa wanavaa nini
Na bado mbishi haswa ila nimemsamehe kwa kuwa hajafanya utafiti kisa tu nimesema alitaka avae Ovarall [emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28]Hangaya kaikosha roho yangu,kapendeza.
Apige hivyi kila siku.
Pipa na mfuniko mmekutanaAnajidai yeye peke ndiye anayelijua jeshi humu ndani.....[emoji1787][emoji1787]
Mkuu wangu hana hoja huyo....
Siku mojamoja iba akili yako getiniKaishavaaa ,mnaoumia hameni mwende ambapo hawavai
We nshakuweka kando maana nahisi upo chuo saiv cha mifugo unapambana na cheti[emoji23][emoji23][emoji23]Kiazi Leo utatoa kila aina ya sababu siku nyengine usikurupuke
Anaiga siasa za kijinga akidhani ataonekana ni imara.Nimeona hii picha inazurura mitandaoni
Nijuzeni anataka kufikisha ujumbe gani kwa taifa?
Au ndio ye na JPJM ni SAWASAWA?
[emoji1313][emoji1313][emoji1313]
AU anakumbushia KMKM "kama alipitia"
DUNIANI KOTE MARAIS WANAOVAA SARE ZA JESHI NI WALE WALIOINGIA MADARAKANI KWA MTUTU WA BUNDUKI
HASA AFRIKA, ASIA NA AMERIKA YA KUSINI
View attachment 2011620
Kuna kosa gani kama nikimsifia mtu kwamba ni mrembo na ametokeleza ndani ya Magwanda ya Jeshi? Hebu punguza hisia... hata mama yangu huwa ninamwambia hivyo hivyo kwamba baba asipo kaa chonjo, watu wengine watamtunzia na tunacheka tu... kuweni free na mfurahini kuongea na wazazi wenu bila uoga...Umezaliwa na mzazi? Umekosa nidhamu hapa jukwaani.Siyo maadili na utamaduni kwa hicho ulichoandika.
Sukuma Gang huku Makao Makuu wanafurahi kwasababu hii kitu iliasisiwa na JIWE. Na yeye anafuata nyayo. Hivyo, wanaamini kuwa hata iweje hawezi kuacha Legacy ya Jiwe!!!Rais mjanja sana, kwa hiyo picha wale jamaa wa sukumagang wanashangilia, halafu akitoka hapo anaenda kuingiza chaguo la msoga kwenye system, hapo anakuwa ameyalainisha makundi yote chamani kwake akiwa kama mwenyekiti wao.
Balaa linabakia kwa wapinzani, ni mwendo wa kuwabambikia kesi na kupeleka mahakamani mashahidi vihiyo wasiojua hata kukariri wanayoambiwa.
Akiwa Afghanistan [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nawaabia hamna akiliKiazi Leo utatoa kila aina ya sababu siku nyengine usikurupuke
[emoji1787][emoji1787][emoji1756][emoji1756]Kwanini hawavai za polisi, magereza, na mgambo?