Rais Samia kuvaa sare za Jeshi. Je, kaanza vitisho?

Rais Samia kuvaa sare za Jeshi. Je, kaanza vitisho?

Ona ulivyo hobobo.....lini polisi na magereza wamekuwa ni Majeshi ya ulinzi ?!!!!
Kakojoe ulale

Shenzi kabisa

MKUU WA MAJESHI YA ULINZI(JWTZ) na USALAMA (POLISI,TISS,MAGEREZA& UHAMIAJI, ZIMAMOTO)

Uwage unabakisha hata kaakili kadogo KENGE WEWE
Screenshot_20211115-220716_Google.jpg
 
Asingevaa asingeonekana kama anayasaport hayo majeshi.

Na kama ni hivyo kwanini usione Samia pia kavaa ili kuwatia motisha wanajeshi wetu?
KDF ilikuwa ndio Combat yao ya kwanza walikuwa hawajawahi kuingia kwenye Medani ya Vita.

Raisi Uhuru akaona atoe Support kwa Vikosi vyake kwa kuvaa hivyo sasa JWTZ wana Vita gani ya Kusapotiwa Ndugu?
 
Watanzania sometimes tupunguze Nongwa za Kipumbavu. Rais Samia alikuwa Lugalo kwa hiyo Shughuli hivi Logically tu akivalia Millitary Uniform na ikizingatiwa pia Kikatiba na hata Kiitifaki ni Commander in Chief ( Amiri Jeshi Mkuu ) kuna tatizo?

Mnaboa badilikeni kwani hamjachelewa.
Hasira za Katiba Mpya hizi.
 
Numekuona fala ndio maana nikaona nitembee na za kwako
Hajui lolote na hoja huziwezi
Inaonekana ulilelewa na changu maana una matusi sana

Malezi yako ya tabu sana
Inaonekana baba yako aliwakimbia
What I tell you nipo serikalini kitaaaambo saaana
Neva jaji me HUNIJUI BWEGE WEWE PENGINE BADO UNATAFUTA KAZI UVCCM KWA 5K/day[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bora hata angevaa Gwanda la Chadema halafu akasema... "Wanangu Katiba mpya rukhsa"

Ningekesha na Konyagi kubwa.
 
Watanzania sometimes tupunguze Nongwa za Kipumbavu. Rais Samia alikuwa Lugalo kwa hiyo Shughuli hivi Logically tu akivalia Millitary Uniform na ikizingatiwa pia Kikatiba na hata Kiitifaki ni Commander in Chief ( Amiri Jeshi Mkuu ) kuna tatizo?

Mnaboa badilikeni kwani hamjachelewa.
Mkuu LUGALO ndio avae military uniform akienda TMA saivu ina jina tifauti atavaa nini au akienda NGOME?
 
Acha ushamba wa kuhoji hoji hata vile ambavyo unaweza kupata majibu wewe mwenyewe.

Iyo ni taasisi kila kinachofanyika lazima kiwe ndani ya utaratibu maalumu.

Swali jepesi ulipaswa kujiuliza kabla ya kujaza maandhishi humu, Je amevunja sheria? Au ni kinyume na taratibu za kazi yake?

Ukishapata majibu nakushauri uache umbea
 
KDF ilikuwa ndio Combat yao ya kwanza walikuwa hawajawahi kuingia kwenye Medani ya Vita.

Raisi Uhuru akaona atoe Support kwa Vikosi vyake kwa kuvaa hivyo sasa JWTZ wana Vita gani ya Kusapotiwa Ndugu?
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756]
 
Mimi leo kwa mara ya kwanza nimeona msambwanda wa kiunguja.
Hii si sawa, umekosa adabu hata ya hadhi sawa ya mama yako? Kwanini umkashifu Rais wako? Sio ujanja kijana hizi tabia mwisho unaziapply kwenye real life afu inakuumiza. Acha hizi mambo
 
Back
Top Bottom